Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Karibun wote mliochaguliwa kujiuga na THE UNIVERSITY OF DODOMA
2 Reactions
105 Replies
12K Views
Tume ya udahili vyuo vikuu (TCU) imetangaza rasmi sasa kuanzia tar 10 hadi tar 14 kufunguliwa kwa dirisha la udahili awamu ya pili kwa walengwa wote wa - Waliomaliza form six na stashahada...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Ni application in nayoweza kuitumia kwa ajili ya kudownload video from u tube ambayo iko compactable with sumsung maana kila nayoijua nakataa
0 Reactions
5 Replies
798 Views
Habari, jamani kwa wale waliyofabya registration SUA for bachelor degree nahitaji msada wenu, Nimekwama kwenye malipo kwa njia ya simu,wamenitumia kumbukumbu no/reference no lakin hawajanitumia no...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Je wakati wa kulipa bodi ya mikopo Kupitia M-pesa unajaza index namba ile uliyo tumia nje ya nchi kwenye sehemu ya account namba au kuna manna nyingine... Kama kuna amesomea Uganda na amefanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani ushaurii wenu mm nimechaguliwa vyuo viwili tofauti na coz tofauti, nmechaguliwa chuo cha utumishi Wa umma coz ya records management pia nmechaguliwa Nit coz ya logistics and transportation...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau? natafuta wa primary school (English Medium) anayeishi Makongo au Goba. Naomba unitumie contact zake via 0755255768.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo juu.Natafuta shule ya Nursery iwe English Medium,maeneo ya Mwenge,Sinza,Makongo. Wawe Na Usafiri (School bus) itapendeza. Kama wajua nistue.Cost isizidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua shule nzuri ya English Medium ( Primary) kwa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Asante
0 Reactions
16 Replies
20K Views
Wenye division III TCU haiwachagui ni kweli wadau?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jaman nimeandikiwa congratulation you have been selected lakn coz zote nilizoomba zipo pale sijajua wanamaana gani naomben ushauli tafadhari wenye uelewa na hili
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mi ni kjana ninayesoma certificate ktk chuo fulan nataka kujiunga open university kusoma degree kwa muhula huu 2016/17 Je ntaweza kusoma coz nasikia open university ni kwa ajil ya open distance...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Hbr wana jamvi? Swal ni linahusiana na chemistry Je molecular formular ya petrol ni ipi???
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Kwa wale walio apply certificate na diploma upande WA kozi za AFYA mwaka WA masomo 2018/2019 Mie najarb kuingia profile yangu haifunguki inagoma
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomben maelekezo ya kufika udsm natokea tunduma.
3 Reactions
86 Replies
10K Views
Habari Jf,naomba kujua ii kozi ya logistic and transport management kiundani kidogo kwa anae ijua vizuri
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu; Tumejidanganya kwa mda mrefu sana, na tunaendelea kujidanya kuwa ,matumizi ya vitisho ,lugha za kejeli na kuwabeza walimu vinaweza kutusaidia katika harakati zetu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asilimia kubwa hasa waliomaliza Diploma level hawapewii vipaumbele katika udahili kwa awamu ya kwanza vyuoni ni nini kifanyike upande wa TCU na vyuo husika?
1 Reactions
52 Replies
9K Views
Nilipitia kwenye orodha ya Vyuo vilivyosajiliwa kudahili na TCU kutoa mafunzo ya shahada mwaka wa masomo 2018-2019 sikukiona hiki chuo nikahisi labda ni Typing error. ishu ikaja pale ambapo kuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naulizeni Kwa wale waliowahi kusoma chuo cha power computer Posta kilichopo Jengo la SABODO mtaa wa INDIA nisaidie kunipa sifa na uzuri wa chuo hicho Napenda Kusoma IT BUSINESSES
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom