IT and business

IT and business

basiri

Senior Member
Joined
Aug 31, 2018
Posts
172
Reaction score
159
Jamani naulizeni Kwa wale waliowahi kusoma chuo cha power computer Posta kilichopo Jengo la SABODO mtaa wa INDIA nisaidie kunipa sifa na uzuri wa chuo hicho

Napenda Kusoma IT BUSINESSES
 
mkuu hiki chuo kwa ujumla kipo vizuri sana. mazingira ya kusomea yako poa sana kuna computer lab kama 3 hivi kwahyo unakuta kwenye kusoma IT kila mtu na computer yake, projector kila darasa, madarasa yote full AC, libraly yenye vitabu vya kutosha vya IT na masomo mengine, walimu pia wako vizuri. chuo kinatoa short courses za IT, busness, account mfano Tally, na english course mf IELTS.
hyo business and IT unayotaka kusoma inatolewa kwa syllabus ya UK inaitwa NCC tembelea www.nccedu.com kwa maelezo zaidi. hii NCC ukisoma miaka miwili hapo chuo yani level 4 na level 5 ni sawa na mwaka wa kwanza na wa pili wa degree ambapo ukienda UK au nairobi unasoma mwaka mmoja unapata degree ya kwanza ukiwa huwez unaweza kusoma online maana kile chuo wanafundisha level 4 na level 5 tu na cheti kinatoka kwa kila level. qualification za kujiunga ni principle mbili form 6 au kwa form 4 unaanzia level 3 kama foundation course.
pia zipo course za ICDl (International computer driving lisence) ambayo hizi ni coz za computer ambazo zinatambulika kimataifa.
natarajia kuandika uzi maalumu kwa ajili ya hii elimu naona ni fursa kubwa kwa sisivijana wa kitanzania kuingia kwenye soko la kimataifa.
 
Nitag ukiandika hiyo makala
 
Uliwahi kusoma pale au vipi mkuu
 
Vizur coz umenielekeza Kwa kina sanaa
 
s

sawa mkuu lakini kama uko interested njoo pm nitakujibu kila unachotaka kufahamu
Mkuu kama iko sawa kwako naoma nije PM kuhusu hii kitu, kuna wakati kama wiki mbili zilizopita niliulizia hii kitu hapa jukwaani lakini sikupata jibu la kueleweka. Nitashukuru.
 
karibu mkuu
 
mkuu hiki chuo kwa ujumla kipo vizuri sana. mazingira ya kusomea yako poa sana kuna computer lab kama 3 hivi kwahyo unakuta kwenye kusoma IT kila mtu na computer yake, projector kila darasa, madarasa yote full AC, libraly yenye vitabu vya kutosha vya IT na masomo mengine, walimu pia wako vizuri. chuo kinatoa short courses za IT, busness, account mfano Tally, na english course mf IELTS.
hyo business and IT unayotaka kusoma inatolewa kwa syllabus ya UK inaitwa NCC tembelea www.nccedu.com kwa maelezo zaidi. hii NCC ukisoma miaka miwili hapo chuo yani level 4 na level 5 ni sawa na mwaka wa kwanza na wa pili wa degree ambapo ukienda UK au nairobi unasoma mwaka mmoja unapata degree ya kwanza ukiwa huwez unaweza kusoma online maana kile chuo wanafundisha level 4 na level 5 tu na cheti kinatoka kwa kila level. qualification za kujiunga ni principle mbili form 6 au kwa form 4 unaanzia level 3 kama foundation course.
pia zipo course za ICDl (International computer driving lisence) ambayo hizi ni coz za computer ambazo zinatambulika kimataifa.
natarajia kuandika uzi maalumu kwa ajili ya hii elimu naona ni fursa kubwa kwa sisivijana wa kitanzania kuingia kwenye soko la kimataifa.
Ada sh ngapi kiongozi??AF kuna koz za jioni(part-time)
 
ada wanalipa kwa pound but sjajua ni pound ngapi (ni pm nikupe namba za ofisi utajibiwa)... kozi za jioni zipo kuanzia saa 11 hadi saa 2 ucku
 
Hizo principal pass kwa ajili ya form six candidates ni za combination gani? Au ni kwa combination yoyote ile?
nafikiri ni masomo yoyote maana hapo kuna option ya kusoma busnes tu, au IT tu au busness na IT ss haya ni masomo ambayo mtu wa combination yoyote anaweza kufanya.
 
Sisi wa form 4 division 32 tunalusiwa kusoma apo Na ada yake kwa ngazi ya cheti ikoje
 
Back
Top Bottom