Nafikaje udsm(main campus)

Nafikaje udsm(main campus)

Panda basi from tunduma paka dar es salaam

Ukishuka nadhani itakuwa usiku chukua bajaji au teksi kwa usalama zaidi kwavile u mgeni. mwambie unataka kwenda chuo kikuu cha udsm.
Gharama ya bajaji from ubungo bus terminal to udsm haizid elf 10.
 
Ni jinsi utakavyopatana na huyo mwenye bajaji, lakini 5,000/= ndiyo fair price. Kama wewe ni mwanafunzi unaenda kuanza masomo pale inabidi ufanye utaratibu wa kutafuta pa kulala kwa siku hiyo ili kesho yake ukaanze mchakato wa kupewa pa kuishi
 
Yes. Buku tano. Mabasi hayo ya tunduma yanafikaga late saana. Ndio maana price ina change.

Mtoa mada ni vema utafute pakufikia kwa siku ya kwanza kisha kesho yake ndio uanze mchakato wa registrations ili uweze kupewa hostels
 
Pa kufikia nmeshapapata kuna ndugu atanipokea ye anakaa toangoma.
Sasa ndo natak kujua kwamb nkishakuwa hapo toangoma labda napand magar ya wap mpk wapi ili nifike huko main campus
 
Khaaaa toangoma palefu nahisi iyo ipo kongwe mbagara sasa unapanda gar toka kongowe mpka mbagara then mbagara panda za mbgara makumbusho shuka makumbusho chukua za makumbusho mbenzi au gongoramboto shuka magufuli hostel
 
Toa ngoma ipo Kigamboni kwahyo Unatakiwa kupanda gari inayokwenda Feri (Kivukoni) Yameandikwa T/Ngoma. Kigamboni ! Ukishuka hapo utavuka kutumia Kivuko mpaka upande wa Pili Panda mwendokasi ushukie kituo kinaitwa Ubungo maji! Ukiwa ndani ya basi ya mwendokasi omba msaada kwa abiria mwenzio akukumbushe kituo cha ubungo maji ushuke! Ukishashuka Panda Bodaboda (nauli buku) mwambie akupeleke chuo udsm! Au kama una mizigo mingi nakushauri siku ya kwanza nenda mikono mitupu kufanya uchunguzi upajue kwanza then baadae ufate mizigo yako ndo uende sio ubebe matranka na mabegi unaenda sehemu usiyoijua utapata tabu saana!
N.B: Nauli T/ngoma mpaka Kigamboni - 600
Nauli ya kivuko - 200
Nauli ya Mwendokasi - 650
BodaBoda kutoka ubungo maji mpaka udsm nauli - 1000
Nakutakia safari Njema
 
Mkuu Nakupa Ushauri Wa Uhakika Na Salama Zaidi.

Kama Umepata Mtu Wa Kufikia Hapa Dar, Basi Huyo Mwenyeji Wako Ni Msaada Kwa 100% kwasababu atakuwa Anaijua Dar.
Basi Siku Ya Pill Mapema Asubuhi Baada Ya Kufika Dar Mwambie Huyo Mwenyeji Wako Akupeleke Mpaka Sehemu Ya Kupandia Gari ya Abiria/Bajaji/Bodaboda/Taxi (Utakayopenda kupanda) then Yeye Anarudi Home Wewe unaelekea Chuo.
 
Pa kufikia nmeshapapata kuna ndugu atanipokea ye anakaa toangoma.
Sasa ndo natak kujua kwamb nkishakuwa hapo toangoma labda napand magar ya wap mpk wapi ili nifike huko main campus
Unapanda gari paka kituo kinaitwa mawasiliano au simu 2000 kisha unashuka unachukua gari za mawasiliano makumbusho zinazopitia njia ya chuo kikuu.
 
Toa ngoma ipo Kigamboni kwahyo Unatakiwa kupanda gari inayokwenda Feri (Kivukoni) Yameandikwa T/Ngoma. Kigamboni ! Ukishuka hapo utavuka kutumia Kivuko mpaka upande wa Pili Panda mwendokasi ushukie kituo kinaitwa Ubungo maji! Ukiwa ndani ya basi ya mwendokasi omba msaada kwa abiria mwenzio akukumbushe kituo cha ubungo maji ushuke! Ukishashuka Panda Bodaboda (nauli buku) mwambie akupeleke chuo udsm! Au kama una mizigo mingi nakushauri siku ya kwanza nenda mikono mitupu kufanya uchunguzi upajue kwanza then baadae ufate mizigo yako ndo uende sio ubebe matranka na mabegi unaenda sehemu usiyoijua utapata tabu saana!
N.B: Nauli T/ngoma mpaka Kigamboni - 600
Nauli ya kivuko - 200
Nauli ya Mwendokasi - 650
BodaBoda kutoka ubungo maji mpaka udsm nauli - 1000
Nakutakia safari Njema

Umemshauri Vizuri Sana Kutoka T/Ngoma Mpaka UDSM.

Mimi Namuongezea Kwa Sehemu Ulioiacha.

• Kutoka TUNDUMA Mpaka UBUNGO (DAR) utafika SAA MBILI usiku au Zaidi.

• Ukishafika UBUNGO utaona Daraja (Flyover) watu Wanapanda Juu Kwahiyo Nawewe Panda Juu halafu Shukia Kwa Ndani Utakata Tiketi Ya Mwendo Kasi (Basi) Kwa Shilingi 650/=.. Lakini Kwa Muda Huwo Mabasi Yanajaa Nyomi Kwahiyo Likisimama tu Basi Kimbilia Uingie Hivyohivyo.

• Ukiwa Ndani Ya Mwendo Kasi Ukiangalia Kwa Dereva Kule Juu ya WindScreen Basi linasoma Vituo Vyote Linavyosimama.
Wewe Hakikisha Unashuka Kituo Cha Mwisho Kabisa Ambacho Basi Litasoma Final Destination Ferri Terminal.

• Ukifika Ferri Shuka Utaona Watu Wanakoelekea Kutoka Hapo Stand, Then Elekea Upande Wa Pwani Utaona Bango Kubwa Hivi then Mbele Ya Hilo Bango ndiyo Utaelekea Kukata Tiketi Ya Kivuko Kwa Sh. 200/= Na Kuingia Jengo la Abiria.
Note: Tiketi Za Kivuko Kama Hujawahi Kuzitumia Zinaweza Zikakuzingua Wakati Wakuingia Kwenye Jengo la Abiria Kwani Zinasoma Kielectronic. Kwahiyo Zikikuzingua Basi Angalia Upande Wa Kushotoni Utakuta Kuna Uwazi Wewe Pita tu Kwanye Huo Uwazi, Haina Shida Wala Usijali.

• Lango la Jengo la Kusubiria Abiria Likifunguliwa tu Utaona Watu Wanakimbilia Kwenye Kivuko, Lakini Wewe Hata Usijilazimishe Kukimbilia Bali nenda Taratibu tu Mpaka Ndani Ya Kivuko.

• Kivuko Kikishafika Upande Wa Pili Abiria Nyote Mutashuka...
Ukishashuka Fuata Abiria Wenzio Wanakoelekea Mpaka Nje Ya Geti Utakutia Njia Panda; Njia Moja imeelekea Kushoto Na Nyengine imeelekea Kulia. Hakikisha Unaiacha Njia Ya Kushoto Usiifuate, Na hapo Fuata Njia Ya Kulia.

Hiyo Njia Ya Kulia ifuate Moja Kwa Moja Bila Ya Kupinda Popote baada Ya Masafa Kama Ya Mita 150m hivi itakupeleka Mpaka Stand Kuu ya Kigamboni.
Njiani Kuelekea Stand Na Hapo Stand Wenyewe Muna Biashara Kibao za Vyakula, Vinywaji na Matunda Kama Una Ubao Basi Unaweza Ukajipendelea tu.

Hapo Stand Tafuta Gari iliyoandikwa T/NGOMA - FERRI. Ukishapanda Gari ya Abiria Mpigie Simu Mwenyeji Wako Ushuke Gari Kituo Gani then Yeye atakusubiri Hapo.

Note: Hakikisha Usije Ukapanda Gari ya KIBADA - FERRI utaishia Njiani Kibada Stand.
 
Toa ngoma ipo Kigamboni kwahyo Unatakiwa kupanda gari inayokwenda Feri (Kivukoni) Yameandikwa T/Ngoma. Kigamboni ! Ukishuka hapo utavuka kutumia Kivuko mpaka upande wa Pili Panda mwendokasi ushukie kituo kinaitwa Ubungo maji! Ukiwa ndani ya basi ya mwendokasi omba msaada kwa abiria mwenzio akukumbushe kituo cha ubungo maji ushuke! Ukishashuka Panda Bodaboda (nauli buku) mwambie akupeleke chuo udsm! Au kama una mizigo mingi nakushauri siku ya kwanza nenda mikono mitupu kufanya uchunguzi upajue kwanza then baadae ufate mizigo yako ndo uende sio ubebe matranka na mabegi unaenda sehemu usiyoijua utapata tabu saana!
N.B: Nauli T/ngoma mpaka Kigamboni - 600
Nauli ya kivuko - 200
Nauli ya Mwendokasi - 650
BodaBoda kutoka ubungo maji mpaka udsm nauli - 1000
Nakutakia safari Njema
Ahsant sana mkuu
Nmekuelewa
 
Umemshauri Vizuri Sana Kutoka T/Ngoma Mpaka UDSM.

Mimi Namuongezea Kwa Sehemu Ulioiacha.

• Kutoka TUNDUMA Mpaka UBUNGO (DAR) utafika SAA MBILI usiku au Zaidi.

• Ukishafika UBUNGO utaona Daraja (Flyover) watu Wanapanda Juu Kwahiyo Nawewe Panda Juu halafu Shukia Kwa Ndani Utakata Tiketi Ya Mwendo Kasi (Basi) Kwa Shilingi 650/=.. Lakini Kwa Muda Huwo Mabasi Yanajaa Nyomi Kwahiyo Likisimama tu Basi Kimbilia Uingie Hivyohivyo.

• Ukiwa Ndani Ya Mwendo Kasi Ukiangalia Kwa Dereva Kule Juu ya WindScreen Basi linasoma Vituo Vyote Linavyosimama.
Wewe Hakikisha Unashuka Kituo Cha Mwisho Kabisa Ambacho Basi Litasoma Final Destination Ferri Terminal.

• Ukifika Ferri Shuka Utaona Watu Wanakoelekea Kutoka Hapo Stand, Then Eleke Upande Wa Pwani Utaona Bango Kubwa Hivi then Mbele Ya Hilo Bango ndiyo Utaelekea Kukata Tiketi Ya Kivuko Kwa Sh. 200/= Na Kuingia Jengo la Abiria.
Note: Tiketi Za Kivungo Kama Hujawahi Kuzitumia Zinaweza Zikakuzingua Wakati Wakuingia Kwenye Jengo la Abiria Kwani Zinasoma Kielectronic. Kwahiyo Zikikuzingua Basi Upande Wa Kushotoni Utakuta Kuna Uwazi Wewe Penya tu Wala Usijali.

• Lango la Jengo la Kusubiria Abiria Likifunguliwa tu Utaona Watu Wanakimbilia Kwenye Kivuko, Lakini Wewe Hata Usijilazimishe Kukimbilia Bali nenda Taratibu tu Mpaka Ndani Ya Kivuko.

• Kivuko Kikishafika Upande Wa Pili Abiria Nyote Mutashuka...
Ukishashuka Fuata Abiria Wenzio Wanakoelekea Mpaka Nje Ya Geti Utakuwa Njia Panda; Moja Kushoto Na Nyengine Julia. Hakikisha Unaiacha Ya Kushoto Na Unapita Ya Kulia.
Hiyo Ya Kulia Ifuate Moja Kwa Moja Masada Kama Ya Mita 150m hivi itakupeleka Mpaka Stand Kuu ya Kigamboni.
Hapo Tafuta Gari liliandikwa T/NGOMA - FERRI. Ukishapanda Gari ya Abiria Mpigie Simu Mwenyeji Wako Ushuke Gari Kituo Gani then Yeye atakusubiri Hapo.

Note: Usije Ukapanda Gari ya KIBADA - FERRI.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁👏
 
Wamechangia vizuri wachangiaji ila nadhani hawafahamu Tua ngoma ipo eneo gani. Tua ngoma ipo mara tu baada ya kupita kongowe hivyo kupitia feri ni kuzunguka sana. Kuna mabasi ya moja kwa moja kutoka Tuangoma hadi kariakoo nadhani hiyo ndio itakuwa njia nafuu na fupi, akifika Kariakoo sasa hapo atapanda Mwendo kasi na kufuata maelekezo kama yalivyotolewa hapo juu ya kushuka Ubungo Maji na Kupanda boda boda kushuka Utawala
 
Khaaaa toangoma palefu nahisi iyo ipo kongwe mbagara sasa unapanda gar toka kongowe mpka mbagara then mbagara panda za mbgara makumbusho shuka makumbusho chukua za makumbusho mbenzi au gongoramboto shuka magufuli hostel
Jamani tumieni L na R kwa usahihi
 
Back
Top Bottom