Naomba kufahamishwa shule nzuri ya Primary English Medium - Dar hasa Kinondoni

mezanane

Senior Member
Apr 11, 2011
116
185
Wadau naomba kujua shule nzuri ya English Medium ( Primary) kwa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Asante
 
Wakimaliza lasaba,wakifanya interview kuingiza Feza wanachomokaga?
Hata FEZA wana primary school yao sio wote huwa wanaweza kuingia FEZA.Matokeo ya PRIMARY FEZA huwezi linganisha na mtokeo ya HAZINA primary school.Hazina inaiacha mbali FEZA kwenye shule za primary.Matokeo ya FEZA primary 2016 hayo hapo
http://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/results/shl_ps0204101.htm
http://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/results/shl_ps0204101.htm

linganisha na ya HAZINA haya hapa

http://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/results/shl_ps0204116.htm
 
Anazak mbez temboni feza Thomas more even Marian wanawachukia ila mwenye akili sio kila mtu atapata nafasi
 
HAZINA ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL....,
.
.
..
.
............
ipo Magomeni Morocco ya kwanza ( kanisani )
 
GOOD SAMARITAN ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL.......
ipo Masaki


ST. PETER'S PRIMARY SCHOOL..
Ipo Msasani Mbuyuni
 
Mpeleke Don Bosco Nursery - Kwa Masista. Edward Michaud pembezoni mwa kanisa la kakobe
 
Back
Top Bottom