Naweza kusoma Open University?

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Mi ni kjana ninayesoma certificate ktk chuo fulan nataka kujiunga open university kusoma degree kwa muhula huu 2016/17
Je ntaweza kusoma coz nasikia open university ni kwa ajil ya open distance learning na hamna kuingia class ni msuli wa mwanafunzi tu?
 
Kama certificate yako ni ya mwaka mmoja na kuendelea, itabidi usome foundation kozini waka mmoja kisha ndio utajiunga na degree kozi
 
Mkuu Nina sifa za kusoma degree sema kwa sasa nnasoma certificate ya mwaka mmoja ktk Chuo fulan so naweza nkaendelea kusoma degree hapo Chuo at the same time coz mda wa open university haubani sana kuingia class au nfanyaje mkuu?
 
Sasa kama unajua una sifa unataka usaidiwe nini hapa?
 
Mkuu Nina sifa za kusoma degree sema kwa sasa nnasoma certificate ya mwaka mmoja ktk Chuo fulan so naweza nkaendelea kusoma degree hapo Chuo at the same time coz mda wa open university haubani sana kuingia class au nfanyaje mkuu?
...sifa za kujiunga na hiyo course yako Open University unazifahamu?, km unazo, then hakuna kitachoshindikana,Open University utakuwa unajisomea mwenyewe,ila ukiwafahamu wenzako wa hiyo course,mtakuwa mna discuss,na library kubwa tu ipo,thn wewe unaweza kuendelea na hiyo certificate yako huko kwingine,bora uwe tyr kufanya mitihani ya Open mwezi wa 2 test, na wa 5 au 6 annual exams.
 
Hivi entry qualification kwa wanaotaka kusoma Master Degree au PhD ni zipi? Kwa anayezifahamu atuwekee hapa.natanguliza shukrani
 
...sifa za kujiunga na hiyo course yako Open University unazifahamu?, km unazo, then hakuna kitachoshindikana,Open University utakuwa unajisomea mwenyewe,ila ukiwafahamu wenzako wa hiyo course,mtakuwa mna discuss,na library kubwa tu ipo,thn wewe unaweza kuendelea na hiyo certificate yako huko kwingine,bora uwe tyr kufanya mitihani ya Open mwezi wa 2 test, na wa 5 au 6 annual exams.
Asante mkuu
Kwa hyo kwa open university mtu anaweza kuendelea kusoma hata kama kuna masomo mengne anasoma chuo kingine at the same time!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom