Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,699
- 11,298
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo juu.Natafuta shule ya Nursery iwe English Medium,maeneo ya Mwenge,Sinza,Makongo. Wawe Na Usafiri (School bus) itapendeza.
Kama wajua nistue.Cost isizidi 1,500,000 kwa mwaka
Kama wajua nistue.Cost isizidi 1,500,000 kwa mwaka