Goodhope078
Member
- Mar 8, 2017
- 72
- 23
Jaman nimeandikiwa congratulation you have been selected lakn coz zote nilizoomba zipo pale sijajua wanamaana gani naomben ushauli tafadhari wenye uelewa na hili
Mbona haiingii kwnguUmechaguliwa Certificate in Project Planning and Management (CPPM
Wamenichukua hiohio nashukulu kwa msaadaHiyo ya juu utakuwa umepata. Naona ipo highligted. Kwa msaada zaidi wasiliana na Admin. Namba zake zipo kwenye website ya UDOM.
Hongera sana mkuuWamenichukua hiohio nashukulu kwa msaada
Poa unazan ningecheza ningechaguliwa??we kweli thatiphiketi ujaelewa nini kwenye huo ujumbe mbona unaeleweka kuwa umechaguliwa.Wewe cha muhimu andaa ada tu na ukasome sio ukacheze kama ulivyofanya sekondari.
Wakuu VP kuhusu joining instruction?Poa unazan ningecheza ningechaguliwa??