Jamani naombeni ushaurii coz ya records na logistics and transportation IPI angalua ina soko

peace lady Tz

Member
Sep 4, 2018
19
6
Jamani ushaurii wenu mm nimechaguliwa vyuo viwili tofauti na coz tofauti, nmechaguliwa chuo cha utumishi Wa umma coz ya records management pia nmechaguliwa Nit coz ya logistics and transportation. Naombeni ushaurii wenu nichague coz gani ya kwenda kusoma kati ya hizo na ni coz IPI ambayo angalau soko lake la ajira ni zuri kwa sasa
 
Kama unaweza badilisha kozi hapo utumishi,ni bora usomee Usekretari inafursa nyingi sana
 
Mkuu kwani NIT bado hujacomfirm kwasababu najua first round ililuwa mwisho tar 9 au wewe ni second round?
 
Back
Top Bottom