Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu (2018) na matokeo yafuatayo; Economics D Commerce A Accountancy B G/Studies E BAM E Tatizo ni kwamba o'level nilipata F ya B/MATHES na D ya Book...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa.Naomba kuuliza juu ya kozi iitwayo bachelor of education in science inahusu nn asa,pia pia yafaa mtu Ku specialize katika masomo yapi hasa.physics,chemistry au biology...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau habari zenu..... ni kuhusu kozi ya B. in urban development and Environment management je nini future yake na ajira je zinapatikana... Pia ukilinganisha na Project planning management ipi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nimepata multiple selection. Nimechaguliwa SUA Bachelor of records and information management wakuu. Inahusika na carrier gani haswa? Nimechaguliwa pia Mzumbe bachelor ya Business...
1 Reactions
43 Replies
14K Views
Hellow ,samahani mwenye orodha ya majina yaliochaguliwa katika vyuo vya afya vya diploma
0 Reactions
1 Replies
4K Views
msaada wadau mwenye kujua kuhusu hiyo kozi ya PPM ,, kama inaweza kumsaidia mtu ajira ama kujiajiri na msaada huku ukiringanisha na urban planing and environmental management.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya kusubiri kwa masaa, siku, na sasa wiki hatimaye TCU leo wamenitumia zile "code". Sasa niwaulize TCU code hizi mnazonitumia leo zina msaada gani kwangu iilihali deadline ya kufanya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hatimaye Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) yaanza kutoa orodha ya waliopokelewa Vyuo Vikuu … kwa kudunduliza. Finally TCU University Admission Results are out … in drips and drops After nearly four...
4 Reactions
28 Replies
264K Views
Habarini wakuu, Naulizia kwa anaeijua hizi shule za Fountains of Joy na Mount Moriah zilizopo Mbezi kuna vijana wangu nataka kuwapeleka mojawapo ya hizi shule, mmoja darasa la 3 mwingine Nursery...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Message…napenda kujua kinaendelea nini mpaka muda uhuu kwa wale WA multiple Walio fanya confirmation Tayar na ambao wamewasiliana na vyuo husika. Mana udahili awamu ya pili umefungulia ila hatima...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba kuuliza ipi shule nzuri ya sekondari kwa wasichana ambayo inapatikana tanga pwani morogoro ada isizidi milioni tatu
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada juu ya step foundation .....
0 Reactions
2 Replies
632 Views
Kijana wangu amechaguliwa kujiunga form 5 Ndwika girls, naomba masaada wa kupata joining instructions za shule Ile, uniform na mahitaji mengine. Naomba msaada wenu.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
habari za mida hii wakuu. naombeni ushauri nifanyaje naana TCU wamentumia code zao jion hii up to now nimeshindwa kucomfirm ,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu Wa masomo ya economics na geography na ninaweza pia kufundisha commerce Naomba Kama kuna Shule inahitaji mwalimu tuweze kusaidiana na ningependa kufundisha Kama permanent teacher...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
nilipomaliza registration! na kulogin kwa account niliyoiregister, natakiwa nipewe reference number ili niweze kulipia application yangu ya chuo lkn sikupewa, hii changamoto ni ngeni kwangu, kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nilipomaliza registration! na kulogin kwa account niliyoiregister, natakiwa nipewe reference number ili niweze kulipia application yangu ya chuo lkn sikupewa, hii changamoto ni ngeni kwangu, kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Masaada wadugu mwenye notes za socialism advance anisaidie tafadhali anitumie hapa
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Tumekamilisha!! Kile kitabu chenye kumsaidia mwanafunzi aelewe anachokisoma na afaulu katika mitihani yake kimekamilika.Kitaanza kuwa mitaani tarehe 19 Sept.Kama unataka mwanao afahamu mbinu za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
salaam wadau, naomba kujua kuhusu kozi za folk lift operator ada yake na chuo gani zinatolewa kwa dar.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom