Joseph Cliff
Member
- May 31, 2016
- 28
- 6
Je wakati wa kulipa bodi ya mikopo Kupitia M-pesa unajaza index namba ile uliyo tumia nje ya nchi kwenye sehemu ya account namba au kuna manna nyingine... Kama kuna amesomea Uganda na amefanikiwa kujaza naomba msaada hasa hasa sehemu ya kulipia