Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habr za kazi wakuu,niende moja kwa moja katika mada yangu kama ilivyo andikwa hapo juu. Mimi ni mwalimu Wa sekondari ya Nkome iliyoko mkoa Wa Geita,wilaya ya Geita vijijini,Kata ya Nkome,naomba...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Samahan naomba kuuliza selection za dilploma zinatoka lin?? Mana application tumefanya muda mrefu?
0 Reactions
3 Replies
932 Views
wadau nimechaguliwa MUCE iringa sasa nauliza utaratibu wa kuhamia mlimani campus itawezekana?ushauri tafadhal
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa,mimi ni muhitimu wa diploma ya ualimu nimeapply udsm kwa round ya pili sasa hivi nimeingia kwenye profile yangu naona wameandik Hivi STATUS : Successfully selected on : Bachelor...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu poleni na kazi, nimeshtushwa pale nlipowasiliana na ndugu yangu wa siku nyingi ambaye yeye anasoma chuo cha kimataifa cha kampala baada ya kunipa taarifa kua alichelewa kulipa Ada na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hellow members Majina ya second selection yanatangazwa lini?? Hivi ni TCU ndio wanachagua 1 kwa 1 au chuo wanapeleka tena TCU.
0 Reactions
27 Replies
8K Views
msaada mwenye uelewa na hii kozi nimechaguliwa mzumbe wakati sikuichagua kabisa.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa,naomba mwenye ufahamu na haya mambo aweze kutujuza JE YAWEZEKANA MTU ALIYEOMBA KUDAHILIWA MASTERS NA AKAFANIKIWA KUPATA NAFASI YA MASTERS,JE ANAWEZA KUBADILI NAFASI ALIYOIPATA...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Wakuu Habari zenu! Kwanza Kabisa Natunguliza Kusema Mimi sio Mwanafunzi (Nimemaliza Kusoma Tokea 2005) Wala Sihitaji Kusoma Kwa Sasa. Ila Kuna Staff mwenzangu Ana Mtotowake Ambaye ana Div II ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msaada tenaa ...jamanii naitajii mtu yoyotee mwenye joining istraction ya masomo ya afyaa kwa chuo chochotee cha government ..kuanzia 2016 mpakaa 2018 ..kwa certificate na diplomaa ...msaada wenu...
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Nimefanya kazi ya kuwasaidia watu ku apply vyuo kwa miaka kadhaa sasa tangu huu mfumo wa kutumia 'Admission System' uanze. Nimebaini jambo moja nyeti sana. Wanafunzi wengi waliomaliza Form Six...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf. Kiukweli matumizi yangu ya jina halisi humu linaninyima haki na uhuru wa kutoa maoni yangu ktk kila thread kwakuwa kama ilivyo kuna thread nyngine inakuwa na hisia kali hivyo...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Msaadaa jamanii naitajiii kama naweza nikapataaa ...JOINING INSTRACTION ya chuo ya kiomboi school of nursing ..au namba za simuu ...mwalimuuu yoyote wa chuo ichooh ...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Nina Mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka jana alikuwa anataka kuapply clinical officer na mimi sina uzoefu wa maswala ya elimu Naomba msaada jamani kuhusu kozi ya clinical officer, niweze kujua sifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie hints muhimu za Kuandika CV Mfano, ya Ualimu, daktari ,ikiwezekana Naombeni na Sample kwa PDF. cainchuhira@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman tulio apply nursing na pharmacy St Joseph college of health Tanzania tukutane hapa maana mi upande wang nimeapply nursing diploma ila bado cjapata taarifa zozote
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ziwafikie popote mlipo......._. [emoji441][emoji441] _Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Bila shaka Wana Mzumbe mpo hapa JF, nimetumwa kuwakumbuka wafuatao John Mongela, James Bwana, Michael Thomas Sebastian Sarota, Hassan Rajab Hassan, Patrick Maleva, Anderson Segereti, David Black...
0 Reactions
78 Replies
29K Views
**Samahani anayejua maeneo ambayo MTU aliyesoma kozi ya MOLECULAR BIOLOGY & BIOTECHNOLOGY anaweza ajiliwa au kufanya kazi anijuze hizo organization, institutions zake
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasalaam wanajamvi. Napenda kutoa pongezi za dhati kabisa kwa wanafunzi mliochaguliwa vyuo mbali mbali na ninyi mnao endelea na masomo. Tunauza Laptop computer kwa bei nafuu kabisa ambayo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom