taimary5991
New Member
- Sep 30, 2018
- 4
- 0
Jaman tulio apply nursing na pharmacy St Joseph college of health Tanzania tukutane hapa maana mi upande wang nimeapply nursing diploma ila bado cjapata taarifa zozote
Hapana mbona wanadahiliHv si walsema haviruhusiwi kudahili mwaka huu
Yah ata mm najua hivyo ila St Joseph wanadahiliHakijafungwa kilichofungwa ni st john.
Yah ata mm najua hivyo ila St Joseph wanadahiliHakijafungwa kilichofungwa ni st john.