Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mpaka Leo ni october mko kimya kama imeshindikana toeni maelekezo watu wajue mengine ya kufanya
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za muda huu Wana JF Katika jambo ambalo limekera, limeleta usumbufu ni aina ya udahili wa mwaka huu uliubuniwa na TCU wa mtindo wa kuthubitisha kwa kutumia Special codes wanazotumia...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari Wakuu! Je chuo cha muhimbilli kimeshatoa majina ya watakaosoma diploma mwaka huu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani me nimemaliza mwaka huu nimesoma PCB nimepata 1 ya 7 mpaka round hii ya pili sijapata chuo naombeni msaada mwenye namaba za lecture yeyote katika hivyo vyuo naombeni pengine atanisaidia...
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Kama wadau wakubwa wa elimu kwa upande wa nyanja ya uzalishaji na uuzaji wa study materials kwa walimu na wanafunzi tuna kila sababu ya kukumbuka siku hii muhimu ya walimu. Kwa msingi huo...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Kama wadau wakubwa wa elimu kwenye nyanja ya uzalishaji na uuzaji materials kwa walimu na wanafunzi, tuna kila sababu ya kuenzi siku hii ya walimu kwa namna zote za kipekee. Mojawapo ni ku share...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA. Hii taarifa ya Voda (kuzungusha gurudumu, ili ushinde zawadi) imesambaa sanaaa .Hawa ni matapeli, usijaribu kuingia kwenye account hiyo na kuweka details zako utaweza kudukuliwa...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Habari wa kubwa Naomba kuuliza eti awa jamaa wa MCT baraza la madaktari tanzania uwa wanatoa post za internship mwezi gani? Nimemaliza shule toka mwezi wa 7 bado awajatoa post Na swali lingine...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nipo ubungo River side . naitaji mtu ataye nipa mafunzo ya kutumia Adobe Photoshop Na Adobe premiere. Nita fidia mda wake Kwa pesa tutayo kubalia kutokana Na mafunzo .. Kwa yoyote mwenye kujua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kijana amechaguliwa chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto, certificate. Mwisho wa kozi hiii ni upi? ie akimaliza anaendelea na nini (diploma, I guess ?????). Hoja yangu: Je anaruhusiwa kuchukua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kujua vyuo afya. vilivyowazi mpk sasa kutuma maombi kwa ngazi ya cheti clinical medicine
3 Reactions
11 Replies
9K Views
Kwa mwalimu kufanya kazi private au serikalini ni wapi bora
0 Reactions
2 Replies
769 Views
Nimechaguliwa udsm cozi ya bachelor of art in archaeology & geography.....kwa anaeifaham vizuri anipe details zake na uzuri wake as well as ajira zake
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Admission status yangu kwenye profile yangu ya nacte imepotea japo, mwanzoni niliona nimechaguliwa kleruu teachers college, na Tayari wamenitumia joining instructions nifanyeje,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwalim: We Bwenga mbona upo nje wakati wa vipind? Bwenga: fanya yako fala wew, maisha yangu hayakuhusu Mwlim: [emoji15] [emoji33]whaat!!! Bwenga: Ujasikia au[emoji1610]chukua time sir [ huku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye program ya SPSS anisaidie wakuu. Nataka niganye data analysis.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona nifungue huu uzi ili tupeane maujanja ya kupata scholarship nje na ndani ya nchi. Scholarship hutolewa kwa namna mbili- 1/Full scholarship - Hii mwanafunzi hulipiwa miaka yake yote ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi hii ni hatari kwa taifa na watoto wetu.kufuatia uongozi uliopo madarakani kwa sasa chini ya headmaster col.MWANGASI na wasaidizi wake kufuja pesa mpaka kufikia kushindwa lipa...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni naombeni kwa wenye maelezo ya kutosheleza kuhusu kozi hii ya REGINAL DEVELOPMENT PLAN naombeni mnipatie full dertails ikibidi na soko...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba kufahamishwa kuhusu NTA47 nini maanayake coz NACTE wameniandikia kwenye profile yang, nachokijua kuna NTA1,2,3,4,5,6,7,8,9,10 na 11
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom