NJOO TUBADILISHANE KITUO CHA KAZI

badsangu

Member
Nov 1, 2017
67
28
Habr za kazi wakuu,niende moja kwa moja katika mada yangu kama ilivyo andikwa hapo juu. Mimi ni mwalimu Wa sekondari ya Nkome iliyoko mkoa Wa Geita,wilaya ya Geita vijijini,Kata ya Nkome,naomba kubadilishana kituo Na mwalimu ambaye atakuwa mikoa ifuatayo:Mbeya, Iringa, Njombe, pwani,hata morogoro pia sio mbaya.Mwalimu awe anafundisha somo La hisabati kwa maekezo zaid ni pm ili tuweze kuyajenga asanteni sana
 
Back
Top Bottom