wametoa majina nenda kwenye website yaoUmechagulia vp wakati majina hawajatoa?
.
.
.
Utasoma IT na management(coz moja ya public adimistration inaitwa PUB)
nimechanganyikiwa hii kozi siifaham kabisa walasina mpango nayookay sawa nimeona hongera sana
Ungepata one yako safi wala wasingekupeleka usikotaka... madhara ya michezo ndo hiyo... kasomemsaada mwenye uelewa na hii kozi nimechaguliwa mzumbe wakati sikuichagua kabisa.
Ictm nadhani ni ict with marketing na nyingine ni ictb mbona ni nzuri tu na chuo ni kizurinimechanganyikiwa hii kozi siifaham kabisa walasina mpango nayo
ICT with Management.Ictm nadhani ni ict with marketing na nyingine ni ictb mbona ni nzuri tu na chuo ni kizuri
Au we umesoma nini na ungependa kusoma nini?