Msaada Wa Kozi ya Clinical Officer

Msaada Wa Kozi ya Clinical Officer

Young Dady Jo

New Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Nina Mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka jana alikuwa anataka kuapply clinical officer na mimi sina uzoefu wa maswala ya elimu Naomba msaada jamani kuhusu kozi ya clinical officer, niweze kujua sifa za kujiunga na faida ya huko mbeleni. Tafadhali wanajamii Forum
 
ni daktali msaidizi degree yake ni medical doctor chet uwe angalau na pass nne yan D ikiwemo phys, chemia na bio ,english na mathe iwepo ata d moja
 
Jaribu kupitia nacte guidebook then fanya maamuzi, muda si rafki
 
vimebak vyuo vya private 2 nafasi chache sana kwa vyuo vya government upgrading diploma ya co lakn lazma uwe na chet nta level 5
 
Nisaidie basi kutafuta vya serikali au hata vya private venye ada chini ya million mbili na nusu.maan naon vingi n million tatu
 
Back
Top Bottom