Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Wakuu Habari zenu!
Kwanza Kabisa Natunguliza Kusema Mimi sio Mwanafunzi (Nimemaliza Kusoma Tokea 2005) Wala Sihitaji Kusoma Kwa Sasa.
Ila Kuna Staff mwenzangu Ana Mtotowake Ambaye ana Div II ya Art na Aliomba Kusoma Bachelor ya Sheria UDOM akakosa 1st and 2nd Selection.
Kwahiyo Amenitaka Nimsaidie Wakati Mimi Hata Sishuhulikii Hizi issue za Vyo.
Sasa Nimeamua Kulileta Hapa ili na Mimi Nisaidwe baadae Nikasaidie kwani Huyo anayehitaji Msaada Kwangu Yeye Hatumii JF.
Msaada Ninaotaka ni:-
• Je Bado Kuna Vyuo Vinavyodahili Ngazi ya Stashahada (Diploma) na Vinavyodahili Ngazi ya Shahada (Degree) Kwasasa (Yaani Havijafunga Udahili)?
• Kama Vipo Naomba Mnitajie Hivyo Vyuo Vinavyotoa Stashahada au Shahada ili nimpelekee Muhusika.
Mambo Muhimu:
√ Muhusika Yupo Singida Mjini
√ Muhusika Ni Mwanafunzi Wa Art ambaye interest Yake Ni Kusoma Bachelor Ya Sheria (Law) na Akikosa Bachelor at least Akasome Stashahada (Diploma) Ya Sheria.
Ahsanteni.