KUHUSU KUHAMIA UDSM MAIN CAMPUS

KUHUSU KUHAMIA UDSM MAIN CAMPUS

Dr.philosophy

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
122
Reaction score
27
wadau nimechaguliwa MUCE iringa sasa nauliza utaratibu wa kuhamia mlimani campus itawezekana?ushauri tafadhal
 
Inawezekana mkuu sema inabidi ufate taratibu za kuhama sehem moja kwenda nyingine,jaribu kuangalia muongozo tcu huwa wanatoa namna ya kufanya
 
wadau nimechaguliwa MUCE iringa sasa nauliza utaratibu wa kuhamia mlimani campus itawezekana?ushauri tafadhal
INAWEZEKANA ila unatakiwa uwe na sababu inayoridhisha...kwa sababu MUCE ni tawi la UDSM hii ni rahisi sana kuama kutoka tawi moja kwenda jingine...
Cha kufanya nenda kwanza tawi ulilochaguliwa.
Omba muongozo wa namna ya kuhama.
ASANTE
 
nashkur mkuu ntafnya hvyo
 
kwanini uame chuo? jamani wanafunzi msifuate ukubwa au jina la chuo jiulize je unachotaka kusomea kipo uko yani nimeona wanafunzi wengi wanapenda kusoma et udom au udsm kwa sababu tu ya umaarufu wa chuo na wakati wanasomea mambo waso yapenda na si ndoto zao kumbuka chuoni unakaa kwa mda tu yan miaka 3 au 5 af unasepa ila ajira yako ni hadi kifo chako au kustaafu kwako usiangaikie kuhama chuo kwan waliopo hapo wanawezaje ishi,soma na kufaulu vizuri tu ni heri kuwa na uzuni kwa sekunde af ukawa na furaha kwa masaa
 
Back
Top Bottom