Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimehitim kidato cha sita 2016 sikuwa na sifa ya kusoma diploma nikaenda kusoma Grade AIII nimehitim mwaka huu nahitaji kuendeleà kwa ngazi ya diploma naingiza index no ya Grade III A haisomi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nina elimu ya kidato 4 na certificate ya urasimu ramani chuo cha ardhi Tabora ya miaka 2, je kwa sifa hizo naweza kuomba kujiunga na Chuo kikuu cha Ardhi kwa kozi ya Mipango miji au kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
masai resistance in kenya -causes and -impact
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Kama kichwa kinavyosema hapo juu ...ni kuwa ninahitaji kusoma masters ya regional development planning au masters yoyote inayoshabihana na course yangu nje ya Tanzania sasa naomba kusaidiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii course Inasoko hapa nchini na kazi nyingine mtu anaweza kuzipata kama zipi? Bachelor of Science in Library and Information Mnagement
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Wanajamii Habari ya mchana Napenda kuomba msaada wenu Kwa yeyote anaejua kilipo chuo kinachofundisha madereva wa malori tuu hapa dar Es salaam Mdogo wang anapenda kuwa dereva wa lori...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Baada ya kusubiri codes toka jana bila mafanikio hatimaye leo nimepokea simu tatu, nilipigiwa na ofisi ya admission chuo cha Mipango Dodoma asubuhi, Mcha Na hivi sasa nnimepigiwa simu kutoka...
2 Reactions
94 Replies
17K Views
FORM VI EXAMINATION 2018 GEOGRAPHY 1 TIME: 3 HRS...
1 Reactions
9 Replies
14K Views
Naomba msaada apa kidogo jaman.. Nmeanza kufuga kuku wa kienyej na pia natamani niongeze aina nyngne ya kuku... Na aina ya kuku ninaotaman ni kuroiler.. Swali lang ni Je nitawezaje kutofautisha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau Habari za hapa. Naombeni ushauri na maoni kuhusu kozi tajwa halo Juu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Kuna tetesi zinaenea kuwa matokeo ya darasa la saba yanaweza kufutwa kutokana na hali ya uzembe ya usimamizi wa mitihani hizi habari zimekaaje wakuu ni kweli au porojo tu!
0 Reactions
21 Replies
67K Views
MAMBO 8 YA KUSHANGAZA YANAYOFANYWA NA MWILI WAKO KUKULINDA PASIPO WEWE KUJUA. Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar wana jf kuna kozi inaitwa theater and film art ningependa kuifahamu zaidi kwa upana ina husu nini,changamoto zake faida na ajira yake kwa tanzania
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum eti naomba kuuliza utaratibu wa kutuma maombi ya kupata hiyo fursa ya kufundisha kiswahili Afrika kusini.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
01: Bachelor of art in mass communication 02: Bachelor of art in public administration 03: bachelor of library and information management 04: bachelor of art in sociology. 05: bachelor of art...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Jaman naiman mmeamka poa wana jf Mimi Niliomba st john awam ya pili na akaunt yang inaonesha kaneno pending kama mnavoona msaada tayadhali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu ,binti yangu amemaliza std 7 anangojea matokeo ,alikuwa anasoma Shule ya private huko mwanza sasa tumeamia Dsm kwa hiyo atalazimika kusoma Shule ya sekondari huku , Nimeandika hapa...
2 Reactions
47 Replies
42K Views
Tujuzane lini majina ya 3rd round yatakua out ! Na vyuo vitakavyotoa majina
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa akili yangu ya kunywea bia naona ni bora kwa billions zinazopelekwa kwenye elimu bure zitumike kujenga veta nchi nzima kila kata ili mtoto wa kabwela akimaliza msingi au sekondari akapate...
1 Reactions
6 Replies
954 Views
Khabari wana Jf, naomba msaada wa kujua chuo kinachoweza kuchukua mwanafunzi aliehitimu 4m6 mwaka jana kupata III.16 Kwa pcm
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom