Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Samahan wakuu, Je, naweza nikaenda HGE au HGL kwa alama zifuatazo: History-C Geo-D Math-D English-C Literature-C Msaada wenu wakuu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kuliza samahani kuna dogo alimaliza form four 2012, nakupata pass tatu kisw, civcs na bios,baadae aka endelea na cheti hadi diploma na kumaliza, alikwama kuendelea na degree kutokana na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa. Nikiwa mmoja wa wadau wa elimu nchini, napenda kutoa shukrani na pongezi zangu kwa TETEA Inc ambao ni waanzilishi...
7 Reactions
28 Replies
61K Views
Wasalaam Nina mdogo wangu kapata Division 3 lakini ana C ya physics, Chemistry na Biology Nataka afanye Diploma ya course za afya Naomba ushauri juu ya vyuo na course nzuri Asanteni Sent...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa sasa ni ngumu sana kupredict feature, feature inabadilika kwa speed kari sana. Enzi tunasoma sisi tulikuwa tunahamasishwa tusome tuje kupata kazi nzuri na kweli ilikuwa hivyo na tulisoma...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhe Waziri nashauri muingize kwenye mitaala, 1. Elimu ya huduma ya kwanza Elimu ya huduma ya kwanza mfano je mtu akitoka damu puani afanywe nini. Mtu akivunjika mkono afanywe nini. Mtu aliyeungua...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Great Thinkers, Nakumbuka enzi zetu heshima ilikuwa kusoma shule za serikali. Pamoja na uwepo wa shule za binafsi, wazazi wenye uwezo walihangaika kuhonga watoto wao wasome shule za serikali...
1 Reactions
1 Replies
949 Views
Evidence: Kwanini mikoa inayofanya vibaya kwenye elimu ndiyo inayopendwa na CCM? --------------------------------- Mikoa 10 iliyofanya vizuri zaidi katika mtihani wa kidato cha pili 2018; Arusha...
7 Reactions
29 Replies
13K Views
Kuna post nyingi kuhusu kutafuta shule ninaamini ni jambo muhimu kwa kila mzazi. Ningependa uzi huu ndio uwe kimbilio la wengi kama unafahamu shule yoyote nzuri mkoa wowote mwaga sera zake hapa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nilikua na mpango wa kusoma kombi zenye Physics lakini matokeo yamekuja vibaya kwa hili naombeni msaada Matokeo yangu ni Phys-F, Civ-D, Chem-D, Math-C, Bio-C, Geo-C, Hist-C, Eng-C, Kisw-C...
1 Reactions
87 Replies
10K Views
Nauliza kurudishwa nyuma darasa shule ya msingi kisa mwanafunzi haijafikia average imekaaje? Sheria inaruhusu? Shule za kulipia hata hizi serikali hii inaruhusiwa? Je hiyo average serikali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya kwa wote! Msaada mwenye kujua shule ya private, iwe ya kulala huko, mchepuo CBG kidato cha tano. Nina ndugu anahitaji kuhamia katika shule yenye vigezo tajwa hapo juu. Mwenye...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nahitaji msaada wenu juu ya hill jambo nacte wanihamisha na kunipeleka chuo kingine tatizo no kwamba chuo ninachotoka hawataki tuondoke Nilifikiria kitu kimoja nitoroke tu niende chuo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
hiki chuo uongoz wake n udikteta mtupu principle n majanga tu hasikilizi ushauri wa mtu yeyote c walmu wake serikari ya wanafunz wa chuo hawackilizwi uksema unatishiwa kufukuzwa chuo...
0 Reactions
47 Replies
16K Views
Na imani wazima ndugu zanguni. Kama kichwa cha habari Hapo juu kinavyojieleza. Nimepata taarifa kuwa Matokeo hayo yametoka tangu mwaka mpya. Lakini nimeangalia sehemu mbali mbali ikiwemo blogs na...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Ndugu wana taaluma idara ya elimu habari za asubuhi, Naomba mwenye tetesi au lini matokeo ya hawa vijana yanatoka lini maana humu JF kuna watu wapo kwenye Baraza la Mitihani la Tanzania na...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Wanabodi chaliii wangu ananiumiza kichwa kinyama, May mwaka huu anatimiza 18 yrs. Uwezo wake kimasomo tangia primary kiukweli ulikuwa mdogo sana hivyo nilimkaririsha mara nyingi nikadhani ange...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Jamani napenda kuuliza kama Mount Meru University ina valid and reliable website? Maana inakuwa online siku tatu kisha mwezi mzima offline. Na hiki huo ubora wa elimu kina ubora gani ikiwa hata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matokeo yangu ya form four PCB (CCB) na math D naihitaji nikasome clinical medicine diploma mwenyekujua chuo chabinafsi kwa ada ya unafuu kidogo Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wakuu Habari za miangaiko ndugu zangu,kuna hili suala la shule za serikali hasa za kidato cha tano na sita kuamua bila kuzingatia kipato cha wazazi kuweka michango mingi isiyokuwa na...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…