Peter Majaliwa
Senior Member
- Jun 16, 2017
- 161
- 30
Jamani nahitaji msaada wenu juu ya hill jambo nacte wanihamisha na kunipeleka chuo kingine tatizo no kwamba chuo ninachotoka hawataki tuondoke
Nilifikiria kitu kimoja nitoroke tu niende chuo nilichopangiwa na nacte ili nisije nikachelewa nikaanza upya kusoma na walifanyaapplicati kwa mwaka huu
Natanguliza shukrani kwenu
Nilifikiria kitu kimoja nitoroke tu niende chuo nilichopangiwa na nacte ili nisije nikachelewa nikaanza upya kusoma na walifanyaapplicati kwa mwaka huu
Natanguliza shukrani kwenu