Ushauri vyuo vinavyotoa kozi za afya

Ushauri vyuo vinavyotoa kozi za afya

CarloJesus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Posts
431
Reaction score
838
Wasalaam

Nina mdogo wangu kapata Division 3 lakini ana C ya physics, Chemistry na Biology

Nataka afanye Diploma ya course za afya

Naomba ushauri juu ya vyuo na course nzuri

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nina mdogo wangu kapata D. Ya biorogy na D. Ya chemistry! Je aweza enda kozi gani ya afya?
 
Vyuo vyote ni vizuri..ila angalia kipi utamudu..kwa upande wa serikali gharama za ada ni nafuu kidogo ukilinganisha na private..

Kozi zenye pesa kwa upande wa afya ni Uafisa Afya na Pharmacy.
Kozi zote za afya zina ajira...sema sikuhisi Bwana mkubwa kapunguza uajiri ndani ya serikali.
Ila kama unataka dogo asikae sana mtaani..mtafutie lab,c.o,nesing,Pharmacy.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom