Matokeo kidato cha pili 2019 yanatoka lini?

Matokeo kidato cha pili 2019 yanatoka lini?

Kijana ushe2

Senior Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
178
Reaction score
127
Ndugu wana taaluma idara ya elimu habari za asubuhi,

Naomba mwenye tetesi au lini matokeo ya hawa vijana yanatoka lini maana humu JF kuna watu wapo kwenye Baraza la Mitihani la Tanzania na naamini Wana ratiba kamili kuhusu lini matokeo yanatoka siku ndio zimeyoyoma zaidi Jumatatu vijana lazima wawe shuleni lakini wataendaje huku matokeo hayajatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom