Je, naweza kwenda HGE au HGL kwa alama zifuatazo

Nakle_750

Member
Jan 9, 2020
5
0
Samahan wakuu, Je, naweza nikaenda HGE au HGL kwa alama zifuatazo:
History-C
Geo-D
Math-D
English-C
Literature-C

Msaada wenu wakuu
 
Aende chuo, huko form six kwa hizo hgl sijaona umuhimu wake, aende chuo kwa kuanza certificate mwaka moja, diploma miaka miwili na degree miaka mitatu.

Kwa kufanya uamuzi huu anaweza kuajiriwa kwa cheti cha diploma wakati wenzake wa form six hawawezi, atapitia mafunzo ya kazi (field) akiwa diploma wakati form six haina, wenzake wa form six wanavyoenda degree watakuwa wageni kwenye kuandaa assignment, mbinu za kufaulu, maisha ya chuo na vingine vingi ambavyo Dogo akienda chuo kwa sasa hatokuwa mgeni, atakwepa viboko vya form six, n.k
 
Kwa marks zake sizani anahitajikuanza certificate, ni diploma moja kwa moja.
 
Samahan wakuu, Je, naweza nikaenda HGE au HGL kwa alama zifuatazo:
History-C
Geo-D
Math-D
English-C
Literature-C

Msaada wenu wakuu
Unless unamuona ni kichwa basi aende 6 otherwise asije ishia kupata div 3 alafu asome ualimu!

Kama anapenda kuwa mwanasheria mwambie aombe diploma chuo cha sheria pale tanga au mzumbe! Kama anapenda uhasibu aombe diploma kwenye vyuo husika!
 
Back
Top Bottom