Mitch McDeere
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 299
- 619
Habari ya wakati huu wakuu.
Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa.
Nikiwa mmoja wa wadau wa elimu nchini, napenda kutoa shukrani na pongezi zangu kwa TETEA Inc ambao ni waanzilishi, wamiliki na wasimamizi wa Maktaba Tetea.
TETEA Inc ni nani?
Kwa mujibu wa maelezo yao, TETEA Inc ni shirika lisilo la faida (nonprofit organization) lililoanzishwa mwaka 2008 na Peace Corps ambao walikuwa wamefundisha katika shule za sekondari nchini Tanzania. Lengo kubwa la TETEA Inc ni kusaidia watanzania katika sekta ya elimu. Mission Statement yao ni “To empower Tanzanians through education.” Shirika hili linajihusisha na mambo mbalimbali ya kielimu ila mimi nimeamua kuzungumzia suala la past papers.
Soma zaidi kuhusu TETEA Inc HAPA au HAPA.
NECTA PAST EXAMS (PAST PAPERS)
Kwenye website yao (Maktaba Tetea) wanatoa huduma ya past papers katika categories zifuatazo:
i) Standard Seven (PSLE) Exams (Bonyeza hapa kupata mitihani hii)
ii) Form Two (FTSEE/FTNA) Exams (Bonyeza hapa kupata mitihani hii)
iii) Form Four (CSEE) Exams (Bonyeza hapa kupata mitihani hii)
iv) Form Six (ACSEE) Exams (Bonyeza hapa kupata mitihani hii)
v) Qualifying Test (QT) Exams (Bonyeza hapa kupata mitihani hii)
Kwa hakika wamefanya jambo zuri na wametatua changamoto ya upatikanaji wa past exams za NECTA kuanzia elimu ya shule ya msingi mpaka kidato cha sita. Kilichobaki ni wanafunzi kutumia fursa hii kwa mafanikio zaidi ya kielimu.
Naomba kwa mdau yeyote mwenye resource link yoyote ya kielimu au mchango wa kielimu atushirikishe. Na pia kwa wale ambao walikuwa hawafahamu kuhusu Maktaba Tetea basi wawashirikishe ndugu, jamaa na marafiki walio katika level husika za elimu.
Ahsante.