Salaam wakuu
Habari za miangaiko ndugu zangu,kuna hili suala la shule za serikali hasa za kidato cha tano na sita kuamua bila kuzingatia kipato cha wazazi kuweka michango mingi isiyokuwa na ulazima.Mfano Shule ya sekondari Chato iliyopo wilaya chato,mwanafunzi anaambiawa alipe hela ya taaluma 20000, hela ya vibarua 30000, hela ya majaribio 10000, hela ya ukarabati 15000 kwa uchache. Hivi kama siyo upigaji huo ni nini, Serikali angazieni hizi wanafanya vitu vya eti kwa sababu siyo elimu bure wanarundika michango mingi isiyokuwa na uhalali wowote.
Hapa chini nimebatanisha fomu ya mwanafunzi iliyotumwa kwa mzazi