Nimemaliza Kidato cha nne 2018 lakini matokeo si haba nimekutana na kikwazo naombeni msaada

Victor Chilambo

Senior Member
Jan 31, 2019
111
43
Nilikua na mpango wa kusoma kombi zenye Physics lakini matokeo yamekuja vibaya kwa hili naombeni msaada

Matokeo yangu ni Phys-F, Civ-D, Chem-D, Math-C, Bio-C, Geo-C, Hist-C, Eng-C, Kisw-C.

Chochote kilicho bora kwangu ndo chaguo
 
Nilikua na mpango wa kusoma kombi zenye phys lakini matokeo yamekuja vibaya kwa hili naombeni msaada,matokeo yangu ni Phys-F,Civ-D,Chem-D,Math-C,Bio-C,Geo-C,Hist-C,Eng-C,Kisw-C.
chochote kilicho bora kwangu ndo chaguo
Kasome diploma pale chuo cha MAJI Dar hutajuta
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom