Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Dr. Ayub Rioba, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC Katika kipindi cha Nyimbo Zetu kilichorushwa asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2020, kupitia luninga ya TBC, mtangazaji wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu sijui tunaelekea wapi! TULIKUA NA SHULE NZURI SANA TENA NYINGINE ZA VIPAJI MAALUM...... nazikumbuka shule za wasichana za WERUWERU, TABORA, ASHIRA, MACHAME, KILAKALA...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu jamani... Ninaombeni ushauri wenu kuwa kati ya Interior Design na kozi ya Multimedia Technology and Animation ipi ni kozi nzuri kusomea na yenye wigo mpana wa ajira hapa Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habarini Wakuu Wote! Huu Ni Uzi Nilioanzisha Mwaka Jana Kuwasaidia Wanachuo Watarajiwa Kufahamu Kiundani Kuhusu Udahili Vyuoni, Nikiri Huu Uzi Uliwasaidia Sana Wahitimu Wa Kidato Cha Sita Ambao Ni...
19 Reactions
3K Replies
394K Views
Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Tanzania. Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) Chuo Kikuu cha Arusha (UoA) Chuo Kikuu cha Bukoba Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo:[ 👉Miaka 2 au 1 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello, Do you know any good forum site for students in tanzania to discuss and share notes, ideas?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Wakuu nilikuwa naomba msaada jinsi ya kupata list ya majina ya waliopata mkopo kwa mwaka 2020/21 maana naangalia kwenye website ya bodi ya mikopo sijayaona au kama kuna yeyote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, nahitaji kuhama chuo lakini sijui utaratibu wa mimi kufanikisha hili, tafadhali nisaidieni kujua hatua za mimi kufanikisha hili suala langu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Nimechaguliwa kwenda kusoma shahada ya ualimu, sasa je endapo nkikuta somo moja wapo ya yale niliyochagua mim halifundish hapo chuoni nitafanya nini?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi kwa majina naitwa JUMANNE SELEMAN JUMANNE NI kijana wa umri wa miaka 17, Nmemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019, Baada ya hapo nlichaguliwa na TAMISEMI kujiunga na chuo cha utabibu Maswa-...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
Wazee nitoe angalizo mimi sio mzuri wa kuandika ila naomba tupige kelele angalau watawala wasikie katika elimu yetu hii kuna shida mahala. Wazee huyu baba(kuna video hapo chini) hapa anazungumza...
2 Reactions
0 Replies
726 Views
Habari wakuu, Kumekuwa na changamoto ya ku-confirm chuo kwa waliopata multiple admission, Uki-request code inaonesha code imetumwa lakini haifiki.Dogo kapata loan na inaonesha amepangwa chuo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naomba kujuzwa kuhusu kakonko miundo mbinu, umeme, huduma za afya.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ushauri: Online class masomo ya sayansi katika kipindi cha corona wapewe walimu wazoefu;- Muddy physics, Mgote, Mbuga, Mkandawire na makumaku Kutokana na mchango mkubwa wa hawa manguli wa lecture...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Je unakumbuka nini katika maisha yako ya kitaaluma ukitajiwa hawa watu? Kama wewe umesoma sekondari miaka ya 1998 kwenda juu utakua unanielewa sana hapa. Mwenye update za hawa mageneus Wa hapo dar...
4 Reactions
80 Replies
17K Views
Kwa wastani wa siku nzima (Saa 24). Paka hutumia masaa 16 kulala, na masaa 5 kwa ajili ya kujilemba/kujipamba, kwa masaa mengine 3 hutumia kufanya mambo mengine.
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Back
Top Bottom