Wadau wa elimu zile shule zetu za serikali na vipaji umaarufu umeenda wapi!? Why? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau wa elimu zile shule zetu za serikali na vipaji umaarufu umeenda wapi!? Why?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mama D, Jan 25, 2011.

 1. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watanzania wenzangu sijui tunaelekea wapi!
  TULIKUA NA SHULE NZURI SANA TENA NYINGINE ZA VIPAJI MAALUM......
  nazikumbuka shule za wasichana za WERUWERU, TABORA, ASHIRA, MACHAME, KILAKALA, LOLEZA nk.
  wavulana SOMGEA BOYS, TABORA, UMBWE, LYAMUNGO, TANGA, MOSHI, MOSHI TECH nk.
  Inasikitisha sana kwa kweli kuona wizara ya elimu imezidharau na kuzisahau...... mawaziri wengi na wabunge Pia viongozi wa NCHI HII elimu yenu mliipata huko na ilkua nzuri ndo maana mko hapo mlipo!!!!!!!!!!!!!!
  Sana na imewafanaya muwe mlipo sasa,,,,,,,,,SASA MMESHIRIKIANA KUSHUSHA VIWANGO VYAKE BAADA YA HAPO MMEANZISHA SHULE ZENU BINAFSI AMBAZO ADA ZAKE NI MAMILION YA PESA AMBAKO MNAPELEKA WATOTO WENU!!
  TENA WENGINE HATA HAMWASOMESHI HAPA eti mnawapeleka nje ya nchi.
  Hivi hamoni aibu??? mmelaaniwa??? kwa kweli tukifika hapa namkumbuka sana baba wa taifa japo alikufa nikiwa bado mwanafunzi wa sekondari.......... KAMA MMESHINDWA KAZI ACHENI KULIKO HIKI KITENDO MNACHOFANYA CHA KUTURUDISHA KULE MWALIM ALIKOTUTOA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...