University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,390
3,293
Habarini Wakuu Wote!
Huu Ni Uzi Nilioanzisha Mwaka Jana Kuwasaidia Wanachuo Watarajiwa Kufahamu Kiundani Kuhusu Udahili Vyuoni,
Nikiri Huu Uzi Uliwasaidia Sana Wahitimu Wa Kidato Cha Sita Ambao Ni Mwaka Wa Pili Watarajiwa.

Hivyo Nimeona Ni Jambo La Busara Kuurudisha Upya Kwa Manufaa Ya Intake Ya Huu Mwaka.

Wale Wa Kusubiri Matokeo Ya Udahili Vyuoni ( University Admissions),
Kaka Yenu Nipo Hapa Kwaajili Ya Kuwaletea Yanayojiri Na Yatakayojiri Kupitia Huu Uzi.

Karibuni Kwa Maswali, Hoja, Dukuduku, Ombi, Oni, Na Mengineyo Sawia Na Hayo.

Ahsante Na Mnakaribishwa Wote.

PS : Matokeo Ya Udahili Vyuoni Ya Mwaka Jana Yamefutwa Kwenye Post Ya Kwanza Kuruhusu Matokeo Mapya , Pia Kuondoa Mkanganyiko Na Usumbufu.

Updates ==========!
 
Tusubiri ila nipeni tafsiri yanatangazwa kabla ya kuwekwa kwenye portal ya TCU
IMG_20170906_155731.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masomo yataanza rasmi tarehe ngapi mkuu na je hotofautiana kati ya chuo na chuo
Na inakuaje mtu akiwa admitted na vyuo viwili au zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Masomo Yataanza Mnamo Mwaka 2017 Mwezi 10 Tarehe 30 Siku Ya Jumatatu Asubuhi.
Uwezekano Wakuwa Admitted Zaidi
Ya Chuo Kimmoja Upo.
Ikitokea Hivi Unatoa Taarifa Kwa
Chuo Ambako Umepangiwa Lakini
Hutasoma Kupitia Barua Pepe ( E-mail).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili Bandiko Lina Baadhi
Ya Mapungufu Mingi.
Kwa Mfano linasema Deadline
Ya Kuomba Chuo Ni Tarehe 15 September Badala Ya 30 August.
Hivyo Si Lakuaminika Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana #6 deadline ya kuomba chuo ni kawaida tar. 30/8 ila hiyo deadline ni ya ku upload majina kwenye TCU portal na hilo bandiko ni la TCU.
Labda hiyo Jumatatu ni majina ya awali na kwa kuwa kuna uwezekano wa kuchaguliwa vyuo zaidi ya viwili basi baada ya kukubali na kuthibitisha uteuzi wao,basi hayo majina yanatumwa TCU ili yathibishwe kama yamekidhi vigezo vilivyowekwa na TCU.

Huenda Ikawa!
Ila Walipo Danganya Umma
Kwamba Matokeo Ya kidato
Cha sita Yatatoka 21 July
Na Yakatolewa Tarehe Za Mwanzoni Niliwashusha Credit Mnoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili Bandiko Lina Baadhi
Ya Mapungufu Mingi.
Kwa Mfano linasema Deadline
Ya Kuomba Chuo Ni Tarehe 15 September Badala Ya 30 August.
Hivyo Si Lakuaminika Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umechanganya madesa hapo. Tarehe 15.09.2017 ni tarehe ya vyuo ku-upload selection zao kwenda TCU. TCU watapitia selections za chuo kimoja kimoja kuhakikisha waliochaguliwa walistahili na walio achwa wameachwa kwa haki. TCU ikimaliza inarudisha majina vyuoni na vyuo ndo vinatangaza hiyo tarehe 02.10.2017 na si vinginevyo.
 
Ahsante Kwa Clarification!
Just A Matter Of Time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana #6 deadline ya kuomba chuo ni kawaida tar. 30/8 ila hiyo deadline ni ya ku upload majina kwenye TCU portal na hilo bandiko ni la TCU.
Labda hiyo Jumatatu ni majina ya awali na kwa kuwa kuna uwezekano wa kuchaguliwa vyuo zaidi ya viwili basi baada ya kukubali na kuthibitisha uteuzi wao,basi hayo majina yanatumwa TCU ili yathibishwe kama yamekidhi vigezo vilivyowekwa na TCU.

Sent using Jamii Forums mobile app
TCU walisema watatengeneza list ya wale walio chaguliwa zaidi ya chuo kimoja ili wachague wanataka waende chuo gani ndani ya siku 3. Ki ukweli bado najiuliza watafanyaje hili, nia yao ni kuhakikisha mikopo inakwenda vyuo husika. Sijui nafasi zilizobaki watajaza vipi kwani sioni second round au sijasikia reserve list. Tusubiri.
 
Hayawi hayawi sasa amekua, Jumatatu ijayo Vyuo mbalimbali hapa nchini Tanzania vitatangaza hadharani wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mwaka mpya wa masomo 2017/2018 kwa course mbalimbali.

Ikumbukwe kwamba mfumo uliotumika mwaka huu ni tofauti kabisa na miaka ya nyuma hivyo ni wakati mzuri wa kupima mfumo uliopo na uliopita nikiwa na maana mfumo upi utakuwa rafiki kwa wanafunzi.

Kwa nilivyo shuhuduia udahili wa mwaka huu wengi wenye vigezo wamechaguliwa course walizozipa first priority. Hivyo msiwaze sana labda mkopo. Kingine kwa watakaoenda UDSM ule usumbufu wa hostels umepunguzwa kwa kiasi kubwa baada ya ujenzi mpya wa mabweni jirani na Mlimani City kukamilika.

Zaidi yayote nawapa hongera wote watakaochaguliwa ifikapo jumatatu.

Kama Una Oni, Dukuduku, Mawazo, Mchango, Shurba, Povu, Umbea, Majungu, Pingamizi, Kizuizi, Tamko,Tetesi, Ono, Katazo, Tahadhari, Amri,Agizo nk... KARIBU

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom