Jamani TAMISEMI tunawaomba mtusaidie kwa hili tunahangaika mnoo na ndoto zinafifia

Juma sele

Member
Nov 12, 2020
54
95
Mimi kwa majina naitwa JUMANNE SELEMAN JUMANNE
NI kijana wa umri wa miaka 17,
Nmemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019, Baada ya hapo nlichaguliwa na TAMISEMI kujiunga na chuo cha utabibu Maswa- SIMIYU.

Sasa, sku naenda kureport chuoni nkaambiwa na msajili kua sku verify( confirm) kua mimi ni mwanafunzi wa chuo kile

Sasa naomba kwa anae jua anipe utaratibu hua unaendaje apo ndugu zangu samahn jamn kwa anaejua naombeni msaada hapa

Au anishauri kupitia hii namba 0782540847

Note: zawad nono itakuepo kwa yule atakae toa msaada wowote kwa ajili yangu
 
Vitalis Msungwite

Verified Member
May 11, 2014
2,202
2,000
Inaonekana zoezi lilifungwa toka tarehe 15/08/2020. Hivyo hakuna option tena ya kujiunga na chuo chochote kwa mwaka huu. Labda kwa vyuo binafsi kama wataruhusu. Niliwasaidia madogo wengi kuthibitisha lakini kwasasa imekua ngumu maana muda ulishapita. Kama utaweza Fanya mishe nyingine lakini mwakani mwezi wakifungua dirisha la maombi ya vyuo, tuma ili uanze masomo. Kama kutakua na njia ya mkato ya kufikia malengo yako basi jaribu lakini epuka matapeli.
 
Asante sana kaka kwa kutushauri, lakin je tukienda TAMISEMI AU NACTE hatuwez pata msaada wowote ule
 
Nimekupa namba za simu za kuwapigia na kujua utaratibu upoje ili kuepuka ghalama zisizo za lazima kwenda Dodoma wakati hela hizo ungefuga hata kuku unaposubiri nafasi nyingine next time. Lakini kama kuna option itajitokeza itumie japo naendelea kusisitiza umakini maana watu sio matu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom