Nahitaji kuhama chuo lakini sijui utaratibu

Nahitaji kuhama chuo lakini sijui utaratibu

MACHELE13

New Member
Joined
Oct 6, 2020
Posts
3
Reaction score
0
Wadau habari zenu, nahitaji kuhama chuo lakini sijui utaratibu wa mimi kufanikisha hili, tafadhali nisaidieni kujua hatua za mimi kufanikisha hili suala langu.
 
First year mna mambo mengi saana

Unataka kusoma dar es salaam
 
kama uliconfirm ni process ndefu mpaka uende tcu ...na inategemea pia chuo kama kina nafasi bado...usipoangalia vizuri utaangukia mwakani utaapply tena..
 
Back
Top Bottom