Wakuu naomba kuuliza Kama syllabus mpya kwa ajili ya wanafunzi watakaoingia darasa la 7 mwakani waliopo darasa la 6 mwaka huu ambao ilitakiwa wamalize shule mwaka huu, kwa maana kulikuwa na mpango...
The Erasmus Mundus Joint Master Degree Programme is inviting applications for the Erasmus Mundus BDMA International Masters Programme in Europe 2020.
The Erasmus Mundus Joint Master Degree...
Hii Ni kwaufupi sana.
Vifuatavyo Ni Vyuo bora katika Nafasi na Taaluma zake.
Taaluma na Chuo bora.
1-Mhimbili University of health and allied science (MUHAS) kwa Afya.
2-National Institute of...
Habari ndugu,
Naomba kuuliza kama nitaruhusiwa kuappeal mkopo kwani nilipata asilimia chache sana kwa mwaka wakwanza na nilishindwa ku-appeal kipind kile kutokana na sababu zilizokua nje na uwezo...
Wadau wote tunajua jinsi gani Social media ikiwemo Favebook zilileta mabadiliko makubwa katika ulimwengu wa leo kuanzia Siasa, kiuchumi na hata Kiutamaduni sasa hapa najaribu kufikiria je matokeo...
Chuo cha Usafirishaji (NIT) kitaanza kutoa mafunzo ya urubani ambapo tayari kimepokea Tsh. 48.9 bilioni kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya ununuzi wa ndege 3 za mafunzo, kujenga karakana, na...
Habari wanajamii ,namaswali naomba tusaidiane kuhusu koz ya business administration kwa bachelor d
*kozi ipi Bora ya B.A ya -BA in general , - B.A in logistics and procurement, -B.A in marketing...
Habari zenu wadau,husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa mbinu,ujanja na connection ambazo watu wanatumia hadi wanafanikiwa kubadili course hapo Udom.
Kwa ufupi mimi nimechaguliwa...
Mdogo wangu mpendwa amechaguliwa hapo first round, naomba msaada kufahamishwa mambo kadhaa..
1. Malazi, vp kuhusu hili, kuna hostel za kutosha au ajipange kuchukua room mtaani, au anatakiwa awahi...
Habari wadau na wakereketwa wote wa elimu ya bongo.
Mimi ni kijana mwenzenu ambaye TCU ishanikatisha ndoto za kuwa daktari si bongo tu dunia nzima MD ina ushindani sana. TCU guide book...
Msaada tutani, naomba kufahamu ni chuo kipi kinaweza kumruhusu mwanafunzi wa PhD kuandika Thesis kwa kiswahili au ni nchi ipi. Msaada.
UPDATES:
---------------------
Maana yangu ni kwamba kuna...
Wadau habari zenu,
Nahitaji kuhama chuo lakini sijui taratibu za mimi kufanikisha hili suala langu.
Tafadhali nisaidieni kujua taratibu za kufuata hili nifanikishe hili.
Habari za humu wakuu,
Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ?
Je, matokeo ni mabaya sana?
Mwenye anajua au...
Salute Bosses!!!
Habari mkuu , Leo nipo kwenye moody kabisa wa kukuletea uzi ambao hujawahi kufundishwa shule, chuo ama nyumbani!!!
Yaani nataka TUJIFUNZE madini muhimu sana ambayo ni kama...
Ndugu zangu wanaJF, ninaomba mwenye uelewa kuhusiana na hili swala anisaidie nilielewe. Nitajaribu kulielezea mpaka pale uelewa wangu utakapokwamia.
Katika kipindi cha nyuma, ulipaji wa ada...
Hello,
Wakuu hivi kuna member humu alishawai pata hiyo kitu au aulishawai. Hii encounter kitu kama hicho hata kwa mtu wa chuo kimoja? Vp taratibu zake pale TCU?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.