Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nilikuja hapa na tatizo la nephew wangu alidisco, mlinipa ushauri tulioufanyia kazi, aliandika appeal na kuipeleka chuoni mwisho wa mwezi July. Ni kweli kuna makosa yalitendeka, ingawaje kesi...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Msikilize kwa umakini. Maoni yako ni nini?
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Ndugu zangu mnisaidie naombeni ushauri wenu Nimefanya mtihan wa form 4 aalafu malengo yangu ni kwenda chuo diploma Tena napenda nisomee water management au laboratory technician Lakini naona...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Habari wana JF Naomba ushauri ipi kozi nzuri zaidi kwenye soko la ajira kati ya Masters ya Project Management na Masters ya Social Work. Ahsanteni sana.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu! Sina nia ya kutambishiana wala kuleta majivuni, HAPANA! Ningependa kufahamu kwa uzoefu wenu hususani mambo ya fani ya sheria. Je, ikatokea umepata LLB kwenye Chuo cha UDOM na...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
UNA MATATIZO AMBAYO YANAKUSUMBUA LAKINI HUJUI WAPI PA KUANZIA KUYATATUA? JE, unafikiri ni nani wa kulaumiwa kwa changamoto na matatizo yote unayopitia? Ni mzazi, mlezi, Ndugu, Jamii au serikali...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Msaada wa anaejua bei ya Tuition fee + hostel kwa Makongo na Boabab Secondary Schools kwa alevel
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari, Nina mdogo wangu Ni clinical officer ( Ana Diploma) Ni in charge huko vijijini.Amekuwa aki.apply kwenda kusoma course mbali mbali za afya na hapati huu mwaka wa tatu. Course alizoomba...
6 Reactions
60 Replies
12K Views
Habari humu. Nipo njia panda , nahitaji Mawazo yenu kufanya maamuzi ya mwisho. Ipo hivi nimechaguliwa UDSM ( BA in Psychology) na Tudarco ( LLB). Kila MTU ana ndoto zake lakini pia siku hizi...
1 Reactions
75 Replies
8K Views
Hii ni kwa wote iwe ndani ya chuo au kati ya Chuo..baada kumeet zile criteria zote za kufanya transfer,ni muhimu kuhakikisha programme unayohamia ina kiwango cha ada sawa na ile unayohama sababu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nina vijana wangu wamepata nafasi chuo cha afya tanga moja kwa moja kutoka kidato cha nne. Katika mambo yalilonishangaza ni kama ifuatavyo: 1. Suala la chakula mwanafunzi anatakiwa kujitegemea...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
HJaiwezekani wanafunzi wakafeli mitihani yao kiwango hiki. Kuna kitu hakipo sawa either kwa vyuo na ufundishaji au utungaji wa mitihani NACTE. Pitia vyuoni wanafunzi wamefeli sana na NACTE seems...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Ushauri tafadhali, nimepata udahili wa chuo kikuu fulani hapa nchini. Sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuhairisha kuripoti chuo hicho. Nauliza endapo sitasitisha...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari naomba msaada kujua kama kuna ubalozi au shirika lolote linalotoa ufadhili kusomesha watu wasio na uwezo kimaisha kujilipia karo ni ubalozi gani wa nje ambao upo Tanzania unatoa...
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Katika form ya Rufaa, kuna kipengele baada ya kujaza chuo inahitajika REGISTRATION NUMBER nafanyeje hapo maana chuo bado sijaenda. Pia katika sababu kuna kipengele cha sababu ukichagua mbele tena...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakubwa, Kuna paper naitafuta nisaidieni kuipata hii paper CHINA'S INDUSTRIAL POLICY AND CORPORATE TECHNOLOGICAL INNOVATION Does Industrial Policy Play an Important Role in Enterprise...
1 Reactions
2 Replies
835 Views
Habarini Kuna rafiki yangu knishauri kuchukua hiyo coz sasa niliitaji kuifahamu vizuri kama inaweza kunisaidia hapo baadae hivyo basi mwenye uzoefu au ambaye anaifaham hii coz anishauri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Any one please who can give me a short explanation about the course called "QMS".
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali. Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu. Naombeni mawazo ya kuchagua topic nzuri ya kufanyia research kwenye kozi ya Human Resource. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom