Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Nilikuja hapa na tatizo la nephew wangu alidisco, mlinipa ushauri tulioufanyia kazi, aliandika appeal na kuipeleka chuoni mwisho wa mwezi July. Ni kweli kuna makosa yalitendeka, ingawaje kesi bado inaendelea lakini ameruhusiwa kurudia mitihani yote. Bila mawazo yenu haya yasingewezekana.
Shukrani.
Shukrani.