Kwa anayejua ada za Baobab na Makongo naomba anisaidie

TIKEI

Member
Jul 16, 2013
62
6
Msaada wa anaejua bei ya Tuition fee + hostel kwa Makongo na Boabab Secondary Schools kwa alevel
 
Baobab Kwa A level ni mudaaa niliacha 5.6 mil sijui kwa sasa. Maybe itakua imeshuka kwa sasa. Miaka ya 2009
 
No. Haipendezi. Na si fani yangu kufanya ligi. Huwa unapenda sana kuprovoke. Si mara ya kwanza hii nakuona. Just be a real man and mind ur own business. Real men dont behave like u. Good afternoon
Utakuwa umefananisha ID...anayependa kuprovoke ni Global Citizen

Halafu btw hapo sijaprovoke wala sio ligi ni swali la kawaida..dont catch feelings
 
Okey mkuu.. Amani sana. Ni shule nzuri sana hiyo ila siipendi kwasababu kuna mambo sikua nayapenda sana hapo. Na nisingehangaika hata kupeleka mtoto licha ya kupasoma. Kila mtu na preference zake lkn
Mambo gani mkuu ambayo ukuyapenda?
 
Back
Top Bottom