Mashirika yapi yanayotoa ufadhili wa masomo kwa ngazi ya cheti ?

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Wakuu habari naomba msaada kujua kama kuna ubalozi au shirika lolote linalotoa ufadhili kusomesha watu wasio na uwezo kimaisha kujilipia karo ni ubalozi gani wa nje ambao upo Tanzania unatoa ufadhili wa masomo wadau?

Sihitaji matusi naomba watu wenye uelewa wanisaidie .
 
Ulipata msaada?
 
Specific hakuna Mara nyingi ufadhili huanzia ngazi ya degree ya kwanza MSc. PhD kupata certificate labda iwe wanayotaka wao sio wewe. Ukishakua na profession eg.certificate, diploma,degree ni rahisi kupata ufadhili kwenda kuongezea ulipoishia. Hizi huwa very targeted not randomly distributed
 
Back
Top Bottom