Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,331
- 10,752
Habari,
Nina mdogo wangu Ni clinical officer ( Ana Diploma) Ni in charge huko vijijini.Amekuwa aki.apply kwenda kusoma course mbali mbali za afya na hapati huu mwaka wa tatu.
Course alizoomba
Health Management System- Mzumbe
Health information system- Udom
Clinical Nutrition and dietics-Udom
Human nutrition- Sua.
Hana qualifications zakusoma MD.
Je naomba kujua Hakuna chuo kingine kinacho offer course za Aina Hizo apart from hivyo nlivyoorodhesha?
Na je watu walio makazini hawachukuliwi kusoma Hizo course maana anasema anavigezo stahiki vya kusoma?
Naombeni busara na ujuzi wenu Wakuu juu hili swala.