Naitaji Maoni: Kozi ya Pharmacy ni nzuri kusoma katika kada za afya na je ina ajira na faida zaidi?

tigananaJr

Member
Sep 12, 2017
15
13
Habarini

Kuna rafiki yangu knishauri kuchukua hiyo coz sasa niliitaji kuifahamu vizuri kama inaweza kunisaidia hapo baadae hivyo basi mwenye uzoefu au ambaye anaifaham hii coz anishauri!

Nilitaka kusoma MD lakini sikua na credit za kupata but kwwnye pharmacy ziko poa.

Naombeni ushauri wenu wapendwa!🙍
 
Habarini

Kuna rafiki yangu knishauri kuchukua hiyo coz sasa niliitaji kuifahamu vizuri kama inaweza kunisaidia hapo baadae hivyo basi mwenye uzoefu au ambaye anaifaham hii coz anishauri!

Nilitaka kusoma MD lakini sikua na credit za kupata but kwwnye pharmacy ziko poa.

Naombeni ushauri wenu wapendwa!
Kama una uzoefu na mji ipo vizuri sana, kama mgen wa mji yaan wa kusambaza tu barua na kusubiri kudra za aliye juu ukumbukwe basi nenda kapige MD
 
Back
Top Bottom