Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za muda huu ndugu zangu, naombeni mifano ya cases report maana nahitaji kuandaa cases zangu ila kinachonishinda upangiliaji mzuri wa kazi, asanteni sana na samahani kama kutakuwa nimetumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa wenye ufahamu juu ya performance ya Amana bank katika hizi five consecutive years up to 2019 by using CAMELS rating model. Nataraji msaada wenu wakubwa!!
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Na nyinyi jaribuni bahati zenu kwa kuomba scholarships nje.. Tanzania (Chevening Scholarship) | Chevening Tanzania - University of Liverpool Tanzania | University of South Wales Your country...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wakurugenzi? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naombeni maelekezo kwa wenye uzoefu, nahitaji kujua √ Taratiibu za usajili √ Mahitaji ya kuanzia √ Changamoto zake
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki. Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle...
6 Reactions
62 Replies
16K Views
Sheria inasemaje kuhusu hili? Ikiwa mtu umeamua tu kuanza kusoma upya toka elimu ya form one? na ukafuata utaratibu wote kama vile ada, sare n.k Kiufupo nimemiss tu kuwa darasani na kufundishwa/...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Mdogo wangu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu amepata Kiswahili B English C Geography D History D Biology D Geography D Biology D Hesabu D he ataenda kidato cha tano?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hvi kuna utofauti gani kati ya Audit Plan na Audit Program pia naomba types za audit program kwa anaefahamu.
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Wafamasia wote bila kujali ni wa kada gani tukutane hapa, kujadili ishu zetu mbali mbali! Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari wakuu. Naombeni Mwenye kujua kitabu kizuri kinachohusu Electrical Installation activities na Electrical Maintenance na Shughuli zote za Electrical eg.Calibration maeneo ya kiwandani au...
1 Reactions
0 Replies
937 Views
Hivi kuna mtu yu na mawazo kama yangu? Tunahitaji nchi ya viwanda, kujiajiri na ubunifu na ujasiriamali Nadhani somo la ujasiriamali na utengenezaji wa bidhaa vitu na mitambo ndio lingetiliwa...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwenye ufahamu anisaidie kujua unverified increase account in Transit ni nini na ina athari gani kwa Financial statement?. Naomba mnisaidie maana nimebananishwa na mhasibu anajibu querry za TRA.
0 Reactions
2 Replies
932 Views
1.Soko la hisa ni nini? 2.Bidhaa za ndani ya soko la hisa.. 3.Hisa (shares) ni nini? Unapataje faida katika hisa.. 4.Hatifungani ni nini? Unapateje faida katika hatifungani.. 5.Umuhimu wa soko la...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba kuulizia chuo kinachotoa certificate and diploma of law, kwa March/April intake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza naomba nitangulize samahan kama ntakua nmetoka nje ya jukwaa husika,ila pia ntaomba msamaha wenu uambatane na maelekezo kuwa napaswa kwenda jukwaa lipi. Mimi ni fundi kuchomea (arc...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu Habari, Kama kuna mtu ambaye amewahi kusoma college hii inayotoa Kozi zake kwa mfumo wa Online,Naomba atusaidie juu ya eligibility yake na equivalency ya certificates zake kwa vigezo vya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Kuna wanafunzi wengi wamalizapo form six au diploma huamua kwenda chuo kikuu kusoma kozi ambazo hawazifahamu vyema. Baadae mtu anakuja kugundua kuwa alifanya uchaguzi mbovu baada ya...
17 Reactions
453 Replies
96K Views
Wadau mbali mbali mliomaliza six karibuni muapply open kwani nichuo kizuri sana ila wengi wetu hawakijui vizuri, karibu tujuzane
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Once you graduate from college and land a job, your next immediate concern is how to succeed in your career. Because the world has become so competitive, doing well in your job and moving forward...
2 Reactions
0 Replies
579 Views
Kwa mara ya kwanza kabisa naingia jukwaa hili la elimu nimepitia michango michache nami nina jambo naona ni muhimu pia kwa lengo la kuboresha elimu yetu Shule chache za Sekondari zimekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Back
Top Bottom