Unverified increase account in Transit ni nini?

Unverified increase account in Transit ni nini?

omoghaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
293
Reaction score
167
Mwenye ufahamu anisaidie kujua unverified increase account in Transit ni nini na ina athari gani kwa Financial statement?.
Naomba mnisaidie maana nimebananishwa na mhasibu anajibu querry za TRA.
 
Muulize tuu huyo mhasibu maana hakuna namna
 
Bado nasubiri jibu.
Watu wa Tax au TRA mnaweza kunisaidia kwa undani zaidi.
Account in Transit inaathiri vipi Financial statement?.
Inaonekana TRA wamehofu kuna ukwepaji kodi kupitia hiyo account in transit.
Najiuliza inakwepwaje?
 
Back
Top Bottom