Majesty S P
Member
- Sep 24, 2020
- 62
- 85
Habari wakuu.
Naombeni Mwenye kujua kitabu kizuri kinachohusu Electrical Installation activities na Electrical Maintenance na Shughuli zote za Electrical eg.Calibration maeneo ya kiwandani au plant yeyote kubwa naomba anisaidie Jina ili niweze kudownload au hata link kama ipo ili niweze kukidowload.
Manual Book iwe ya kiwanda chochote.
Alternatively anaweza kunitumia kupitia email ya salvatorypolicarp@gmail.com nitashukuru sana.