Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hivi mtu mwenye four ya 26 alafu ana hisC geogC engC kiswC civD biosF alf math hakufany physics hakufany na kemia ila alijisajiri vipi anaweza kwenda advance? Na je cheti chake watamuandikia vipi...
0 Reactions
5 Replies
965 Views
Ila me najiuliza kibongo bongo wasanii wengi hawajasoma ila wametusua bila elimu, je ni kweli kipaji na elimu hutegemeana?
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa vyuo viwili Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili je? Naweza kuapply tena mwaka huu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama ilivyo ada ya maendeleo ya tecnolojia ya habari na mawasiliano yaani TEHAMA. Kuna kijana kaamua tu kusumbua watu huko Arusha,ame hack website ya chuo kikuu cha Tumaini Makumira...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimefaulu Chemistry, Biology na Geography form 4. Je, ni kozi gani nzuri naweza nikapata chuo. Note: Hesabu nimefeli
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salam, Je, naweza kusoma IT nimefeli Fizikia tu kama naweza ni kozi gani nzuri chuo bora cha binafsi au serikali ila ada iwe nafuu napendelea mkoa wa Dar. Nitashukuru kwa msaada
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa zaidi ya chuo kimoja ,Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili . Je? Naweza kuapply Tena mwaka huu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wote tuliosoma Moshi Tech tupeane stori za miaka hiyo nakumbuka kuna Mwalimu alikuwa anaitwa Mpande ikifika saa 11 tayari yupo mabwenini anaamsha watu mchakamchaka alikuwa noma soma huyo...
1 Reactions
3 Replies
952 Views
Kudos kwenu! Wakuu naomba msaada wa kupata vitabu vya advance soft copy vya language 1. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu natumaini hamjambo mnaendelea na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku. Naomba mwenye uelewa na kozi tajwa hapo juu na chuo kinachotoa hiyo kozi kwa ngazi ya shahada anisaidie...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amwagiza mzabuni wa kufunga mashine katika kiwanda cha kuchapisha vitabu kilicho chini ya Taasisi ya Watu Wazima kukamilisha...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wasalaam, Natumai mko poa. Naomba mwenye anajua au mwenye nayo syllabus ya computer study inayotumika kwa Sasa anijulishe naipata vipi /anipe(in soft copy) Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za Nazi wakuu poleni na majukumu, Niende kwenye mada moja kwa moja Hivi kuna mtu anayejua kozi ya Mortuary Attendance inapotolewa hapa Tanzania kwa level yoyote ile?
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari wakuu. Nimemalza kdato cha 4, 2013, na nimescore div one ya 12 {A ya bios na math, zlozobak B+ kasoro civic ndo B}ila kutokana na matatzo ya kiafya nilisoma kwa miez miwili 2,mpaka juz...
0 Reactions
75 Replies
35K Views
Habari za muda huu na hisi kuna sehemu na kwama kwenye kusoma kwangu hivi ni kipi natakiwa nianze kusoma kati ya notes za mwalimu au hivi vitabu reference books shida yangu kubwa niwe na utambuzi...
0 Reactions
3 Replies
808 Views
Najiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
Nina mtoto wa dada yangu amemaliza degree ya sociology!!! Mwaka 2019 Toufil kisanji mbeya!!anataka kusoma master ya sociology UDSM!!hii ni baada ya yeye kusema anaona bora akasome mastazi ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salama wanajamvi. Nimekuwa natafuta sana kuona au kujifunza historia na asili ya mirengo ya vyama vya siasa. Kama yupo wa kuweza kunisaidia naomba msaada ntajifunza kwa lugha yoyote. Naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Jf, Naomba mwenye notes [pdf] za Physics, Chemistry na Biology form five anisaidie. Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu ninaomba msaada wa kupata vitabu vya Shule ya Msingi, ambavyo ninaweza kupakua toka mtandaoni. English for Standard Seven, Pupils Book. Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi- Darasa la Saba...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Back
Top Bottom