Jifunze juu ya Soko la Hisa la DSM (DSE)

Chief Len

New Member
Feb 11, 2021
3
0
1.Soko la hisa ni nini?
2.Bidhaa za ndani ya soko la hisa..
3.Hisa (shares) ni nini? Unapataje faida katika hisa..
4.Hatifungani ni nini? Unapateje faida katika hatifungani..
5.Umuhimu wa soko la hisa katika nchi..
Nimeambatanisha kipeperushi chenye maelezo zaidi..View attachment Jifunze Biashara.pdf
 

Attachments

  • Jifunze Biashara.pdf
    2.4 MB · Views: 90
Hivi hili soko linaoparate siku hizi? Au limestop sababu ya acute pneumonia?
 
Hivi hili soko linaoparate siku hizi? Au limestop sababu ya acute pneumonia?
Lina operate vizuri kabisa na sasa hivi mtu anaweza kufungua akaunti ya muwekezaji kisha kuanza kununua na kuuza hisa kwa kupitia huduma ya DSE Hisa kiganjani(app, ussd na online)..pakua kupitia playstore
 
Lina operate vizur kabisana sasa hivi mtu anaweza kufungua akaunti ya muwekezaji kisha kuanza kununua na kuuza hisa kwa kupitia huduma ya DSE Hisa kiganjani(app, ussd na online)..pakua kupitia playstore

Shukrani nimeipata App
 
Back
Top Bottom