Naomba kujua Jinsi ya kufanya application ya masters, qualifications za kusoma masters, na baadhi ya course za masters hasa za masomo ya artaWadau mbali mbali mliomaliza six karibuni muapply open kwani nichuo kizuri sana ila wengi wetu hawakijui vizuri, karibu tujuzane
Kuna kozi inaitwa Criminal Justice and Investigation inapatikana?Wadau mbali mbali mliomaliza six karibuni muapply open kwani nichuo kizuri sana ila wengi wetu hawakijui vizuri, karibu tujuzane
Kiongozi nimekuwekea kitabu hapo cha mwaka huu kina kila kitu View attachment PROSPECTUS-2018-2019.pdfNaomba kujua Jinsi ya kufanya application ya masters, qualifications za kusoma masters, na baadhi ya course za masters hasa za masomo ya arta
Umewasahau wa 'other qualifications' au hao hamwapokeiWadau mbali mbali mliomaliza six karibuni muapply open kwani nichuo kizuri sana ila wengi wetu hawakijui vizuri, karibu tujuzane
Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu Mkuu wa Chuo cha The Open University of Tanzania (OUT) anafafanua kwa lugha nyepesi jinsi Elimu ktk Chuo Kikuu Huria inavyofanya mapinduzi ya kielimu ili kuwapatia nafasi vijana wengi kusoma kwa mtindo wa elimu ya masafa marefu (Chuo Kikuu Huria cha Tanzania)
AAU TV interviews the Vice Chancellor of Open University of Tanzania and a Board Member of the Association of African Universities, Prof. Elifas Tozo Bisanda on the prospects of open universities in Africa
Source : Association of African Universities