Mimi fundi wa kuchomelea wapi naweza kujifunza MIG na TIG kwa Dar

workshop

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
300
500
Kwanza naomba nitangulize samahan kama ntakua nmetoka nje ya jukwaa husika,ila pia ntaomba msamaha wenu uambatane na maelekezo kuwa napaswa kwenda jukwaa lipi.

Mimi ni fundi kuchomea (arc welding) sasa nilitaka niongeze ujuzi kidogo kuhusu MIG pamoja na TIG(Tungsten inert gas),sasa je kuna kuhusika anaejua kuhusu haya mambo?au kwa hapa Dar n chuo kipi kinafundisha mambo haya.

Asanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom