Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Kuna kitabu kimoja hivi kilitikisa sana miaka ya nyuma kinaelezea Uchawi wa Mchungaji Stephano,
Wakuu hivi hii story ni ya kweli?
Na huyo mchungaji alishawahi kuwepo?
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha...
Habarini humu,
Ni mwanachuo MD mwaka wa 2, nipo najiandaa na UE zikiwa zimebaki wiki kadhaa pekee. Nina diploma ya Clinical Medicine na nilijaribu kuomba hizi ajira za Serikali na nimepata ajira...
Jaman mwenzenu nasoma Chuo Kikuu cha Iringa semister iliyopita nilipata carry ya SoMo la fonetic kutokana na matatizo ya ada yaliyonifanya kuingia mtaan kusaka ada.
Swali je ikitokea Hilo SoMo...
Ama kweli mwema ni mwema hata akionekana mbaya. Siku 100 za mama samia zilikua siku za kupanga ukandamizaji dhidi ya watu wenye stashahada wenye lengo la kuchukua shahada.
Nikiwa kama muhanga wa...
Sasa jamii yetu imeamka, sasa jamii yetu ni jamii ya watu wenye kiu ya maarifa, wakuu napenda kujuzwa software ambayo itaniwesha kuuza vitabu na machapisho mbali mbali ili niwafikie hadhira ya...
NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao...
Nina mwanangu wa kike, matokeo ya kidato cha nne si mazuri, lakini kuna mtu kaniambia kwa matokeo yake anaweza kuanza na certificate in IT.
Naomba kujua mtu mwenye division 4 ya 27 inawezekana...
Bodi ya mikopo mlitoa tangazo dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka 2021/2022 litafunguliwa tarehe 01 July 2021, lakini hadi muda huu halijafunguliwa na hata website yao inasumbua kufunguka...