Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters?? Is this the history we praise and teach?
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu, anataka kuomba kusoma chuo nje ya nchi. Anawezaje kupata result slip au cheti kwa haraka ili akamilishe maombi ndani ya muda. Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu watanzania,ndugu yangu kwenye matokeo haya yaliyotoka kidato cha sita amepata four ya 16 ,matokeo yake ni Biology =S,Chemistry=S na Geography=D. Sasa anaweza kupata chuo kusoma...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwanza nitoe pongezi wa ufaulu mzuri matokeo kidato cha sita. Hongeren wanafunzi, walimu ,wazazi na wadau wote. Niende moja kwa moja kwenye mada. Namna baraza la mitihn linavyopima watahiniwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa matokeo haya je naweza kupata medicine hata vyuo vya private ukizingatia pia competition Physics D Chemistry C Biology D Bam C
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ngazi za msingi na Sekondari sawa ngazi za vyuo mpango upo au ? Mie naona kama ndoto za watoto kusoma wanachokipenda zinachezewa
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nataka kufahamu walimu wa CHETI wanaanza lini mwaka mpya wa masomo 2021/2022? Nilimuombea dogo chuo ila mpaka sasa sijapata majibu yyte, je nitajuaje kama amepangiwa chuo? Naombeni wajuzi mnisaidie
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna no sijapewa kwenye frequency natafutaje mean hapo no
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo. Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021...
2 Reactions
49 Replies
12K Views
Wakubwa wazimaaa? Mdogo wangu amepata CCC EGM. Kulingana na ujuzi wenu juu ya nchi yetu na uchumi wake. Naombeni ushauri wa kumpa huyu dogo juu ya kozi nzuri ambayo itmuwezesha kujiajiri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi itolewayo na OUT je inamfanya mtu awe competent katika field hii kwa kuzingatia mfumo wa open sio wa kuingia darasan mda wote. Waliowahi kuisoma au wenye kujua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu, naomba kujua kozi zipi nzuri mdogo angu anaweza kusoma chuo kwa matokeo haya ya advance . G/study............D History.............C Geography.......D Economic........D...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuja na tokeo la vijana machachari kutokea KISIMIRI wakiendelea kunyosha misonge ya one kali. Swali langu ni moja kwanini ni vijana wa PCM tu ambao hutoboa kupiga one za tatu tangu Tanzania...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kujua, kuna utofauti gani kati ya course ya IT na ICT? Msaada tafadhali.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Fuata hiyo Link ya Serikali: https://matokeo.necta.go.tz/
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatimae shule ya wasichana machame, baada ya kuingiza ingiza wanafunzi top ten miaka iliyopita hapo nyuma, hatimae Rasmi inefanikiwa kutoa Tanzania one matokeo KIDATO CHA SITA 2021 Pongezi kwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Matokeo ya form six amepata chemistry C biology B na physics C ana div one ya 8 nauliza wadau uwezekano wa kupata chuo na mkopo 100% upo!?
1 Reactions
4 Replies
869 Views
Ndugu wana jukwaa Wa JF ,naombeni mnijulishe ada ya kusoma diploma medicine kwa vyuo vya serikali tafadhali. Msaada wenu tafadhali wakubwa.
1 Reactions
44 Replies
85K Views
Hivi unaweza tumia cheti cha kuzaliwa ulicho hakiki mwaka jana Rita kuombea mkopo? Msahada plz wa jibu
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom