Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna topic moja ya evolution of theory.kuna theory 3 classical approach,behaviour theory,contingence and scientific system ivi kati ya izi which is suitable to apply in the organization for nowadays?
0 Reactions
1 Replies
654 Views
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2011 EXAMINATION RESULTS S0438 MASJID QUBAH MUSLIM SEMINARY , DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 15 FLD = 18 S0251 AT-TAAUN ISLAMIC GIRLS...
0 Reactions
20 Replies
19K Views
Heshima kwenu GTs, Mimi ni mmojawapo wa alumni wa Azania Secondary. Katika kuhamasisha wanafunzi kupenda kusoma hasa somo la hesabu, napendekeza wanafunzi wote tuliosoma Azania (PCM) tuanzishe...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Aliesoma tcu guide sheet ya mwaka huu ansaidi kunpa taarifa, na je mhitimu wa foundation program ya open anaweza akatuma chuo gan?
1 Reactions
30 Replies
10K Views
Walimu habari! Mimi nilipendekeza mwaka ujao wa fedha. WALIMU WAKUU NA WAKUU WA SHULE wasipewe posho, na badala yake kile kipengele cha Responsibility allowance kibadilishwe kiwe FEDHA ZA...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Michezo humfunza mtoto ubunifu, kujenga ushirikiano na wenzake, mawasiliano nk. Hivi vyote ni muhimu katka maisha ya baadae ya mtoto. Katika michezo watoto wanapata nafasi ya kupanga sheria na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua wapi naweza pata mafunzo ya graphic design kwa muda mfupi. Mwenye kujua Tafadhari naomba msaada
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto. Yawekwe masomo ya kilimo na...
12 Reactions
93 Replies
11K Views
Habari wana Jamii Forums, Nahitaji msaada kwa elimu kwa Mwalimu wa Pure Math kwa A' Level. Kwa yeyote aliye tayari ani PM ili tujue tunasaidianaje. Updates: Pia Mwalimu wa Geography na Economic...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Hivi ni vituo vya walimu ambavyo vimekua vikitumika kuwasaidia walimu kuendana na wakati kwa kupitia matini mbalimbali, vimetumika kuwakutanisha walimu pamoja na kupeana uzoefu kusoma vitabu...
1 Reactions
4 Replies
973 Views
Akiwasilisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia tarehe 9. 04 May 2021, aliiagiza bodi ya wakurugenzi ya heslb kufuta makato ya 10% yanayotozwa na bodi kwa waliochelewa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu shule tajwa hapo juu. Naomba kujua ipo umbali gani toka Kibiti mjini na mambo wawili matatu kuhusu shule hiyo. Mtu atalajie nini na ajiandae na nini. Kijana wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naishauri serikali yangu kuhusu mtaala wetu wa elimu uweze kubadilishwa na kuwa wa mfumo wa hivi 2:6:4:1:2:3 Miaka 2 ya mwanzo ni elimu ya awali Miaka 6 elimu ya msingi Miaka 4 elimu ya Sekondari...
0 Reactions
6 Replies
909 Views
Aombe vyuo gani ambavyo hatopata ushindani mkubwa, vyuo vikuu, hapa Tanzania.
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari wadau poleni na majukumu, Nasikia kuna kozi mpya ama imepewa jina lingine, zamani ni Shipping and Port Management, sasa hivi inaitwa Cargo Shipping, je kuna anaejua ukweli wa hizi taarifa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu. Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Natumai wote ni wazima, leo nimekuja na ombi kwenu, kwa yeyote anaefahamu kitabu kinachoeleza namna gani mtu anaweza kutengeneza confidence anihabarishe na namna ya kukipata au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa juu ya suala hili,je mwanafunzi anayesomea med lab muhimbili na yule anayesomea kozi hiyo hiyo katika vyuo binafsi ,JE katika soko la ajira wanakuwa na equal chances za kupata...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari, Kuna tatizo gani na tovuti ya chuo cha Moshi Co-operative University? Ukifungua inakuja kialama kama namba nane ila kimealala na kuzunguka kama kinasachi bila kikomo, tatizo ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom