Chuo bora masomo ya biashara kati ya CBE au IFM?

Chuo bora masomo ya biashara kati ya CBE au IFM?

Fafanua vizuri ndugu, ukifafanua itaeleweka nini usaidiwe.!
 
Kuomba Kusoma IFM au CBE masomo ya biashara ngazi ya cheti wapi bora?eg CBE Dodoma au IFM dar au mikoani
Soma CBE mdogo wangu kasoma hapo tawi la mwanza saizi anafanya kazi ya kujiajili ya kilimo yupo safi Kwa kweli
 
Soma CBE mdogo wangu kasoma hapo tawi la mwanza saizi anafanya kazi ya kujiajili ya kilimo yupo safi Kwa kweli
Asante kwa ushauri..Hivi CBE mwanza ndo wako mtaa wa makoroboi?
 
Bora ni uelewa, kujituma na umakini wa mwanafunzi husika: hivyo Chuo Bora ni chochote kati ya hivyo na hata tofauti na hivyo
 
Asante kwa ushauri..Hivi CBE mwanza ndo wako mtaa wa makoroboi?
Kwa urahis ukifka national unakata kushoto unaingia njia ya vumbi kama mita 300 iv au uingilie mecco kuna kibao kipo pale
 
Back
Top Bottom